Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

Wewe kweli zwazwa, sasa waziri wa mambo ya nje, yeye si ndio anapaswa kutoa Tamko... Waziri Januari Makamba, ambaye ndio muwakilishi wa serikali ughaibuni kathibitisha... Alafu unakuja wewe kuleta porojo na ngojera zako hapa... Soma alichoandika Maulid Kitenge

Alshababu ni neno la kiarabu maana yake ni kijana (mnikosoe) Naona hilo neno hao mabingwa wamelitamka zaidi ya mara tatu.

Ili twende sawa. Tutafsirie maneno yote kwenye clip kwa kiswahili ili wote tutumie akili alizotupa Mungu kufikiri.
Utachoka bure ndugu yangu! Hakuna justification kwa mauwaji ya Mtanzania mwenzetu. Allahu Akbar linatumika na magaidi wa kiislamu FULL STOP
 
Utachoka bure ndugu yangu! Hakuna justification kwa mauwaji ya Mtanzania mwenzetu. Allahu Akbar linatumika na magaidi wa kiislamu FULL STOP
Kwa maelezo yako tunaweza kuwa na theory kwamba wauaji ni “Settlers” kwa sababu ya mazingira ya Uuaji, wenzao wanapita wanaendelea na shughuli zao. Sio Magaidi Hamas kwa sababu walikuwa wana-Target waisraeli sio mtu mweusi.
 
Unaishi dunia ya wapi wewe??? hivi unadhani hizo videos uwa kuna mtu kasimama hapo anarekodi??Hivi unadhani kuna watu wanataka kuungwa mkono na watu weusi ili iweje?? Sasa na kule Kibbutz na kwenye muziki kulikua kuna watu wamesimama na tekno zao wanarekodi??? ma nchi yenyewe maskini kila siku kuomba omba na kushi kwa mikopo.kichwa cha panzi hiki.
 
Pia ukiangalia video kwa umakini
Kuna mmoja wao alishika baskeli ana kitu kama pochi maana yake inaonyesha ni mmiliki wa hi baiskeli. Zaidi anaonekana ni mlemavu wa mguu . Sasa tujiulize
Wavamizi Hamas wanahaja ya kushika baiskeli na mzigo wa mateka ?
Hamas wanawezaje kua na mlemavu vitani😂
 
Kwa maelezo yako tunaweza kuwa na theory kwamba wauaji ni “Settlers” kwa sababu ya mazingira ya Uuaji, wenzao wanapita wanaendelea na shughuli zao. Sio Magaidi Hamas kwa sababu walikuwa wana-Target waisraeli sio mtu mweusi.
Ndugu yangu walowezi wa kiyahudi hawawezi kumuuwa mfanyakazi wa mashamba yao huku wakitamka hayo maneno. Tatizo ni nini hutaki kuamini kama Hamas wanaweza kufanya huo unyama? Be honest to your self
 
Wewe jamaa unajua maana ya shababy kwa kiarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…