Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?


Rita zainabu katika ubora wako!!


Rita ni hamas toka dai one yaan huyu kifupi n wale waliokua radicalised??[mention]Ritz [/mention] hongera bibie rita
 
Hatuji kupata majibu..
Inasikitisha sana.
 
Hata malaya naye huonekana mwema kwa malaya wenzake.
Hiyo ni akili yako ya chuki katibu mkuu wa UN ambaye ni mzungu na mkristo ,aliwaambia isael hili tatizo wamelitengeneza wenyewe kwani kwa miaka 70 wamekuwa wakikandamiza haki za wapalestina , freedom fighters sehemu yoyote yenye kukandamizwa haki lazima wawepo kubali ukatae
 
Kuitetea dini yako ni kazi sana.Unatumia nguvu nyingi sana.Pole kwa kuwa wa upande huo
 
Tangu lini Myahudi akasema Allah wakibaru...
Unaweza kuwa na hoja ila hoja hii ni dhaifu iondoe.

Mimi ninaweza kwenda kufanya mauaji halafu nikawa na baadhi ya picha zako nikaacha picha yako eneo la tukio.

Tunaonaga vikundi vya magaidi vikiua vinaongea hivyo, vipi kama adui akaamua kufanya hivyo kutake attention?

Tafuta hoja nyingine mkuu, sababu bado haieleweki.
 
Kama Hamas ndio wale sasa

Inakuwaje watu waisrael wengine wanapita njiani kwa utulivu bila kujificha ?

Kuna kitu hakipo sawa tusiingie mkenge kutaja alah akbar kila mtu anaweza
Leo naona umefikiri vzuri mkuu,

Embu share tena ile vdeo ntazame vzuri mkuu.
 
Israhell walitaka kupata sapoti ya wasiojitambua ila wameikosa
Pole kwa familia ya mollel ila kwa hili mazayuni wanahusika
Hamas endeleeni kupigania haki yenu mpaka muipate
 
Kuitetea dini yako ni kazi sana.Unatumia nguvu nyingi sana.Pole kwa kuwa wa upande huo
Kuna suala pia la kuuliza, Jee Joshua alikwenda Israel au Pelestine kwa masomo ?
Video inaonesha akiuliwa kwenye ardhi ya Palestine na siyo Israel, jee alifikaje hapo na baiskeli na alikuwa akifanya nini Palestine ? Au Hapo anapouliwa na Israel. Kama ni Israel mbona Hamas wamemchagua yeye mweusi wakati pembeni tunaona kuna watu wengine hawana hata wasiwasi wanatembea zao.
 
Wanakujibu au wanakuita gaidi
Hawana hoja wanachokijua wao kumeza meza tu kila wanalo ambiwa
Mazayuni yalijua yatatupata kizembe zembe na propaganda yao yakuwasingizia hamas
Propaganda yao imeback faya waje na mpya
 


Hawa jamani sio hamas hawa wanaweza kuwa ni Raia wa Kipalestina waliopo mpakani mwa israil na Gaza maeneo ya mashambani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…