Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

Mwanaume kutopenda vikoba, na mwanamke kuendelea kucheza vikoba tayari ni wazi kabisa kwamba mwanaume ameshindwa kuwa mwanaume either kwa kumtunza mke kwa matunzo sahihi au kwa kuhakikisha familia inaishi
Sikweli, maana hiyo pesa waipatayo huko wanawake wengi hawaitumii kujitunza au kuitunza familia. Bali huitumia kutimiza tamaa. Kila mtu anajua level ya maisha aliyonayo, ila nyie mtalazimisha highest level ili mpate kuwa validated ilihali unawatoto wa kuwalisha. Wengi mnasema wanaume wamefeli ila huwaondoa baba zenu katika hilo kundi, kama baba yako alifeli kukupa hayo maisha unataka mtoto wa mwanamke mwenzio akupe [emoji23][emoji23][emoji23]. Kila mtu atampata anayeendana naye, achaneni na matamaa. Wapo wakwenye vicoba kwaajili ya watoto wao, ila wengi wawaliolewa sababu kuu ni tamaa.
 
Mambo ya kujifunza kutoka kwenye Uzi wa Taikon;

1.Kushiriki vikoba humpa mtu msukumo wa kutafuta pesa

2.Kama mkeo Hana kazi,usimruhusu acheze vikoba

3.Asilimia 90 ya wanawake Ni wadhaifu wawapo mbele ya pesa na Mali.

Good summarisation
๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ
 
Hapo unapingana na nature Hakuna apangae nani aje duniani
Define nature au tuelezee hiyo nature[emoji23][emoji23][emoji23]. Nimegundua sisi wanaume tukishindwa kutetea hoja zetu tunakimbilia kusema nature. Nani kasema hukupanga wakati unajua matokeo ya tendo ni mimba, tuache kujivictimize. Acha kufanya tendo uone kama utamleta mtu huku duniani. Tunatanguliza ngono mno, mwishowe tunasema nature. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana pia hata mimba hupangwa kama ukitaka.
 
Mkuu amani kwako,
Mwanamke hakuumbwa kuwa mtafutaji. Design ya mwanamke ni kutafutiwa na kuwekewa mezani. Kumweka mkeo kwenye utafutaji kwa kigezo cha Vikoba ni kufungua lango lililofungwa la tamaa ya pesa. Lakini sio tamaa ya pesa tu, yako mengine mengi mfano kutaka fahari, kutaka kujiona bora na mrembo kuliko wanavikoba wengine, kujaribu mambo anayosimuliwa na wenzake mfano kibenten nk.

Wanaume ni wakati sasa turejee kwenye nafasi zetu, tusiwe tunaoa "watafutaji" wenzetu (business partners) bali tuwe na wake wa kulea familia zetu. Kama kweli unampenda mkeo utamponda.
 
Usiseme serikali ipige vita vikoba
Sema wanaume wawajibike kusimama kwenye nafasi zao

Binafsi sijawahi cheza vikoba wala sina huo mpango ila sioni sababu muhimu ya serikali kuweka katazo
Mkuu, sijui ni wanawake wangapi walio kwenye ndoa wanaweza kusema hivi ulivyosema wewe.
 
Nature ni nguvu beyond your limit inayoendesha maisha ya wanadamu.
Yaani kuzaliwa,kuishi na kufa.
Kwani wewe unayo choice ya kuamua ufe lini kwa kifo gani.
 
Nature ni nguvu beyond your limit inayoendesha maisha ya wanadamu.
Yaani kuzaliwa,kuishi na kufa.
Kwani wewe unayo choice ya kuamua ufe lini kwa kifo gani.
wewe ulivyoamua kufanya ngono ulikuwa na choice au hukuwa nayo? Natena unajua majibu ya tendo ni mimba, sasa hukua na choice ya kusubiria mpaka uje umlee mtoto vyema bila lawama au tamaa zako zilikuwakia. Hilo jambo lipo ndani ya uwezo wako, mimba sio kifo, tuache tamaa.
 
Mimi sikuzaa hovyo bila plan
 
Mimi sikuzaa hovyo bila plan
Basi kama uliweza kuwa na plan ya kulea mtoto hivyo hutambebesha lawama mtoto ya kumzaa. Maana wakati wa hiyo plan, yeye hakuwepo. Naulipiga kifua kumlea huyo mtoto maana ulimleta mwenyewe na kwakuchagua wewe. Hivyo, hujamfanyia upendeleo wala huruma zozote bali nikatika kutimiza majukumu ya kibinadamu ambayo kwaujumla hukufanya upate furaha. Tuache kusingizia nature.
 
Vipi waliobakwa je waliplan kuzaa
 
Vipi waliobakwa je waliplan kuzaa
Wewe umekosa hoja zote ukaamua kuleta exceptions to the rule๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Ili tu utetee hoja ya kumlaumu mtoto๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Ambao sijui ni wangapi, maana single mothers au fathers more than 90% hawajabakwakwa. We leta siasa wee, ila mtoto ni wako hivyo mlee hiyo siyo niombi bali nijukumu lako kama mzazi.
 
Ukizaa watoto zaa tu, usizae watoto ili baadae waje kukusaidia kwa sababu wakati huo wao watakua na majukumu mahali pengine hivyo kule kukujali sana kunapungua. Mzazi jiwekeze vizuri kuepuka lawama kwa watoto.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 

Mwanaume wajibika kuwa kichwa cha msaidizi wako
 
Thibitisha kwamba hiyo pesa haitunzi familia
Kuwa mwanaume ni jukumu la kiagano na linaloambatana na baraka za mwenyezi Mungu ambazo zinapita kwake na kuingia kwenye nyumba yake.
Kama wewe ni mwanaume na hutaki Hilo jukumu basi wewe kuwa mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ