Kama haufanyi mambo haya hauna haki ya kumiliki pesa au mali; utaishia kutamani tu na umasikini hautakuacha

Hujatoa mfano wowote halisi.
Naam mfano halisi ni pale utakapochukua hatua na kuiangalia jamii yako ina changamoto gani na wewe unaweza kufanya nini kuzitatua kwanza...hii inahitaji vitendo zaidi
 
mimi sio tajiri ila kuna moja niliigundua baada ya kufatilia sana siasa za marekani,

kuhonga wanasiasa(lobbying) wakurahisishie mambo mfano tozo za bandarini

pia kuna kukwepa kodi ila inakua rahisi rahisi ikifanywa kwa kuambatana na hiyo ya kwanza
Hii nimeielewa ni kweli kabisa. Ndio maana wafanabiashara karibu wote hapa nchini wakoaffiliated na CCM.
Hata US wakina Trump huwa wanacheza sana na Tax evation.
 
Naam mfano halisi ni pale utakapochukua hatua na kujiangalia jamii yako ina changamoto gani na wewe unaweza kufanya nini kuzitatua.
Mfano hapo kwenye jamii unayoishi wewe kuna changamoto ipi umeiona ili mimi nije kuitatua?
 
Hii nimeielewa ni kweli kabisa. Ndio maana wafanabiashara karibu wote hapa nchini wakoaffiliated na CCM.
Hata US wakija Trump huwa wanacheza sana na Tax evation.
mchawi ni kufika hapo kwenye level ya kuhonga, naona ni bahati tu kupata unfair advantage fulani hizi kujituma sijui kusali ni usenge mtupu
 
Maswali mawili ya investor ili akupe hela yake
1. What problems are you solving
2. Solution yake
Ukiweza hapo ni ganda la ndizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…