Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Yeye ana roho nzuri. Ameamua kuitoa hiyo siri ili sote tutajirike. Anakuja kutupa nondo zaidi tusimkatishe tamaa!Utajiri ni siri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ana roho nzuri. Ameamua kuitoa hiyo siri ili sote tutajirike. Anakuja kutupa nondo zaidi tusimkatishe tamaa!Utajiri ni siri
Nimeshaandika hapo juu mambo ya kufanya na hayo ndiyo mfanoHebu tupe mifano ya kiuhalisia kama miwili au mitatu
Na Siri ndio utajiri💲Utajiri ni siri
Hujatoa mfano wowote halisi.Nimeshaandika hapo juu mambo ya kufanya na hayo ndiyo mfano
Naam mfano halisi ni pale utakapochukua hatua na kuiangalia jamii yako ina changamoto gani na wewe unaweza kufanya nini kuzitatua kwanza...hii inahitaji vitendo zaidiHujatoa mfano wowote halisi.
And vaisi vesa iz truNa Siri ndio utajiri💲
Hii nimeielewa ni kweli kabisa. Ndio maana wafanabiashara karibu wote hapa nchini wakoaffiliated na CCM.mimi sio tajiri ila kuna moja niliigundua baada ya kufatilia sana siasa za marekani,
kuhonga wanasiasa(lobbying) wakurahisishie mambo mfano tozo za bandarini
pia kuna kukwepa kodi ila inakua rahisi rahisi ikifanywa kwa kuambatana na hiyo ya kwanza
Mfano hapo kwenye jamii unayoishi wewe kuna changamoto ipi umeiona ili mimi nije kuitatua?Naam mfano halisi ni pale utakapochukua hatua na kujiangalia jamii yako ina changamoto gani na wewe unaweza kufanya nini kuzitatua.
Ah..ah..Demi unaua!...Mfano hapo kwenye jamii unayoishi wewe kuna changamoto ipi umeiona ili mimi nije kuitatua?
Ee mkuu funguka ili tuingie mzigoniAh..ah..Demi unaua!...
Duuuh....
mchawi ni kufika hapo kwenye level ya kuhonga, naona ni bahati tu kupata unfair advantage fulani hizi kujituma sijui kusali ni usenge mtupuHii nimeielewa ni kweli kabisa. Ndio maana wafanabiashara karibu wote hapa nchini wakoaffiliated na CCM.
Hata US wakija Trump huwa wanacheza sana na Tax evation.
Tusaidie wenzako ili na sisi tuzione hizo fursa, inawezekana hatuna akili ya kufikiri. Help usAh..ah..Demi unaua!...
Duuuh....
Yeah yeah ngoja tumsubiri hapaYeye ana roho nzuri. Ameamua kuitoa hiyo siri ili sote tutajirike. Anakuja kutupa nondo zaidi tusimkatishe tamaa!
Hii unaangalia kwako huko.Ee mkuu funguka ili tuingie mzigoni
Hapana siyo kutokuwa na akili plse..sijasema hivyo Demi!.Tusaidie wenzako ili na sisi tuzione hizo fursa, inawezekana hatuna akili ya kufikiri. Help us
Basi tusaidie mkuu. Tutajie 3 tu ili tupate mwangazaHapana siyo kutokuwa na akili plse..sijasema hivyo Demi!.
Umenikata mainiHii unaangalia kwako huko.
Hata huko ulipo tutakuja kuweka kambiHii unaangalia kwako huko.