Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
- Thread starter
- #61
Karibuni sana, nadhani mkija mtaona wenyeweHata huko ulipo tutakuja kuweka kambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni sana, nadhani mkija mtaona wenyeweHata huko ulipo tutakuja kuweka kambi
Tutajie ambazo wewe unaziona. Ili tuje tukiwa tumejiandaa kusolve tatizoKaribuni sana, nadhani mkija mtaona wenyewe
Mimi huwa naona wanaproducts ambazo zinatoa service.Weeee! Ivi searching engine like chrome, na apps like Facebook,X , tuachane navyo twende like Microsoft ni huduma au bidhaa tuaze hapo kwanza
Dahhmchawi ni kufika hapo kwenye level ya kuhonga, naona ni bahati tu kupata unfair advantage fulani hizi kujituma sijui kusali ni usenge mtupu
Elon Musk akanunua twiter Leo inaitwa "X"Mimi huwa naona wanaproducts ambazo zinatoa service.
Ndio maana huwa wanazinunua kama products. Mfano Google walinunua Youtube. Facebook wakanunua Whatsapp
Napambana bado MkuuWewe ni tajiri au unamiliki heleri?
🙏🙏🙏Ukweli mchungu lakini ndivyo ulivyo, Ili dawa iingie wakati mwingine sindano kwanza. Moja kwa moja kwenye hoja ni kwamba kwamba kama hakuna huduma au bidhaa unayoizalisha na kuitoa kwa jamii kama mbadilishano kutafuta utajiri bila njia hiyo ni kujighilibu akili.
Mahitaji ya jamii yako ndiyo utajiri wako, utajiri mwingi upo kwenye changamoto na matatizo ya jamii. Huduma au bidhaa unazozizalisha na kuzisambaza Ili kutatua kero mbalimbali katika jamii yako ndiyo suri ya mafanikio yako.
Kuna matatizo kila mahali hivyo kuna utajiri kila mahali amka Anza kufumbua macho ya akili yako uone. Pesa ni njia tu ya kubadilishana huduma au bidhaa weka kipaumbele katika kuiona huduma au bidhaa yako Kwa jamii.
Mtu anaweza kukupa pesa na zisikusaidie chochote Kwa sababu pesa ni njia tu ya kubadilishana, tafuta cha kubadilisha kwanza Kwa kuangalia jamii yako inahitaji nini.
Binafis naamin ili ufanikiwe/kutajirika, uishi nje ya mfumo kwamda mpaka utakapo jipata, ndio urudi kwenye sheria zaoBado naona kama umeegemea kwenye nadharia zaidi. Hebu fafanua vizuri kwa mifano halisi (practical examples) huku ukizingatia mazingira yetu haya yenye utitiri wa kodi za TRA na tozo za kila aina. Maana wengi wanapambana sana lakini wanaishia tu kupata hela ya kula na kuendesha familia zao lakini siyo kutajirika. Hawa wanakosea wapi?
Inaonekana una fomyula ya utajiri ila hujaiweka wazi kama ilivyo kawaida yenu matajiri na watia hamasa (motivational speakers). Huwa mnaishia kugusia gusia tu nadharia za juu juu na kamwe huwa hamtoi codes zote.
Hebu funguka mkuu jinsi ulivyoweza kutajirika kihalali kabisa katika mazingira haya ya Tanzania bila connections zilizokuwezesha kukwepa kodi, kuingiza bidhaa feki n.k.
Utatusaidia wengi; na Mungu Akubariki sana kwa moyo wako huu mwema [emoji1545]