Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
Condom haina utamu. Wanawake wajitambue watumie means za uzazi wa mpango zipo nyingi tuNdio mtumie condom
Upo sahihi, ila hapa nimewapa alert wanaume kwanza.Mwanamke ndie anae-control uzazi so ungewambia wanawake mkuu.
Mwanaume ndio anaeweza kucontrol kwa kiasi kikubwa Wanawake wakiwa wanasex wanapoteza kabisa uwezo wa kufikiri mwanzoni anakupa tahadhari kabisa yupo siku za hatari ila katikati huko anakuambia mwagia ndani.Mwanamke ndie anae-control uzazi so ungewambia wanawake mkuu.
Kama wanapenda kukojolewa ndani, watumie vitanzi, vidonge vya majira au sindano. Kuliko kujibebesha mimba ambazo zinakuja kuwa-cost for their entire life time.Wee jamaa bwana....sada wao wenyewe hawajionei hurumu wanagawa tuu mbususu na wanapenda kukojolewa ndani...ule umoto moto wa shahawa ndio unaleta raha ya kugegedwa mzeya.
All men want one thing from a woman, fortunately for us men, women also want it too [emoji13]
Na nyie wanaume mtumie mpango wa uzazi sio wanawake tuCondom haina utamu. Wanawake wajitambue watumie means za uzazi wa mpango zipo nyingi tu
Naona unaanzisha ligi. Haya sawa.Na nyie wanaume mtumie mpango wa uzazi sio wanawake tu
Naam. Upo sahihi kabisa.Mwanaume ndio anaeweza kucontrol kwa kiasi kikubwa Wanawake wakiwa wanasex wanapoteza kabisa uwezo wa kufikiri mwanzoni anakupa tahadhari kabisa yupo siku za hatari ila katikati huko anakuambia mwagia ndani. Katika sex at least Mwanaume uwezo wake wa kufikiri hubaki kwa kiasi fulani.
"Kama hutomuoa usimpe mimba" naunga mkono hoja.
Mpango gani wa uzazi tutumie wakati condom nyie wenyewe mnasema hamtakiNa nyie wanaume mtumie mpango wa uzazi sio wanawake tu
Wee bwana wacha wazae tuu. Mambo ya vitanzi mara majira kuleteana majanga tuu huko mbele.Kama wanapenda kukojolewa ndani, watumie vitanzi, vidonge vya majira au sindano. Kuliko kujibebesha mimba ambazo zinakuja kuwa-cost for their entire life time
Point, it's a low IQ kulaumu umepewa mimba na kukimbiwa ikiwa una uwezo wa ku Analyze the worst-case Scenario toka mwanzo. It's all down to women mkuu.Mwanamke ndie anae-control uzazi so ungewambia wanawake mkuu.
Hatutaacha kutoa elimuNi kuendelea kutoa Elimu tu! Vijana wengi wanadanganywa.
Kwanini kia tatizo la mwanamke its mens fault yaani jamii inafanya wao kama mbuzi wasiokua na akiliKumekua na wimbi la akina dada kuzalia nyumbani hasa hawa wa miaka 19-26. Unakuta kijana anajua hana uwezo wa kuhudumia mimba na kuchukua majukumu kama baba lakini anazalisha tu.
Kuna hawa jamaa ambao wameshaoa, anakuwa na kamchepuko kwa tamaa zake, anakazalisha. Wakati uwezekano wa kumuoa haupo. Hii inachangia sana kujaza single mothers mtaani.
Hivi utajiskiaje kuona dada yako ambaye amezalishwa bila kuolewa na masela, anafika kwenye mwisho wa 20's anapatikana mtu mwenye nia ya kuoa lakini anasitisha kwa kuhofia kuoa single mother (maana single mothers wanalika kirahisi na wazazi wenza).
Vijana tubadilike, kama hauna nia ya kumuoa usimpe mimba.
Sahihi. Wakiwa wamepevuka, chuchu saa sita hawashikiki. Wanakuja kukumbuka kutulia tayari washazalishwa na sharobaro kasepa. Ndio maana inatakiwa ipatikane elimu kwa hawa vijana masharobaro kama hawana nia ya kuoa basi atleast wasiwape mimba.Waki tongozwa na wenye nia ya kuwa oa wana leta nyodo. Ohhhh mm bado kuolewa. Ohhh huna hela. Hawashauliki. Wana kimbilia mashalobaro. Kisa mihemko za nyege.
Ngoja kwanza hadi idadi ya Single Mothers wafike Million 10 nchini. Ndio heshima ya Mwanaume ita rudi.
All men want one thing from a woman, fortunately for us men, women also want it too 😝