Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
😳Ndio mtumie condom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳Ndio mtumie condom
🤣🤣🤣 Ofcoz mate, its easier to express myself eloquently using the english language.Aaah! Mwanawane naona unatema yayi
😀😀😀😀 Inaonekana mwanawane umekosa tu ajira ila umombo ni mwingi sana, sasa sijui twende milembe au tukomae na melo hapa hapa🤣🤣🤣 Ofcoz mate, its easier to express myself eloquently using the english language.
How u doing this morning? Is my sister in law Lizzy well too?
Na unachukuliaje mdada kuamua kuzaa pasipo kuolewa.Sijui watu wengine huwa wanachukuliaje, mi kwangu kitendo cha kuzaa naona ni kikubwa sana kikubwaa mnooo yani kuzaa sijawahi kuichukulia kirahisi....nashangaa maamuzi ya watu leo kuzaa na huyu kesho kuzaa na yule kesho kutwa kuzaa kwingine, au kubeba mimba ya mtu na kumsingizia mwingine asee hapana....mabinti sijui wanakwama wapi kwanini uzae zae ovyo ovyo na uone ni kitu cha kawaida
Kumbe una akili sana wee mwanamke👍Uamuzi wa kubeba au kutobeba mimba ni maamuzi ya mwanamke mwenyewe japokuwa mwanaume anahusika pia.
Hakika umeokoka👍Sijui watu wengine huwa wanachukuliaje, mi kwangu kitendo cha kuzaa naona ni kikubwa sana kikubwaa mnooo yani kuzaa sijawahi kuichukulia kirahisi....nashangaa maamuzi ya watu leo kuzaa na huyu kesho kuzaa na yule kesho kutwa kuzaa kwingine, au kubeba mimba ya mtu na kumsingizia mwingine asee hapana....mabinti sijui wanakwama wapi kwanini uzae zae ovyo ovyo na uone ni kitu cha kawaida
Katika kuolewa mambo huwa ni mengi Bill kuna scenario nyingine ni ngumu unabaki kuachia muda uamue mfano umependana na mtu halafu home wanaleta figisu unafanya nini?Na unachukuliaje mdada kuamua kuzaa pasipo kuolewa.
Mzabzab nimeota umeoaHakika umeokoka👍
Uko sahihi Eve, lakini unakuta uliye zaa naye hakuhitaji tena kuzaa na wewe kwa mara nyingine kwa kuwa amesha oa tayari..Katika kuolewa mambo huwa ni mengi Bill kuna scenario nyingine ni ngumu unabaki kuachia muda uamue mfano umependana na mtu halafu home wanaleta figisu unafanya nini?
Kwangu kama mtu hajaolewa ila kazaa watoto hata 5 na mwanaume huyo huyo mmoja mimi kama mimi hii haina shida
Shida ni hii zaa zaa ya ovyo ovyo.
Kuna mdada alikua kaolewa ndoa kabisa kanisani wakaachana akiwa na watoto wawili cha ajabu nae alikua anataka kuzaa tena na mwanaume mwingine sasa huu si ujinga??? Si bora akategeshe mimba kwa huyo huyo mtalala....mi kwangu kuzaa zaa ni mwiko.
Hii ishara nzuri inaelekea wanitakia mema. Ebu niambi huyo mke niliyooa ana tako au kapigwa pasi?Mzabzab nimeota umeoa
Wanatia huruma, unakuta kabinti kazuri kameshazalishwa watoto kama wawili kanahangaika mtaani na maisha bado kadogo.Kumekua na wimbi la akina dada kuzalia nyumbani hasa hawa wa miaka 19-26. Unakuta kijana anajua hana uwezo wa kuhudumia mimba na kuchukua majukumu kama baba lakini anazalisha tu.
Kuna hawa jamaa ambao wameshaoa, anakuwa na kamchepuko kwa tamaa zake, anakazalisha. Wakati uwezekano wa kumuoa haupo. Hii inachangia sana kujaza single mothers mtaani.
Hivi utajiskiaje kuona dada yako ambaye amezalishwa bila kuolewa na masela, anafika kwenye mwisho wa 20's anapatikana mtu mwenye nia ya kuoa lakini anasitisha kwa kuhofia kuoa single mother (maana single mothers wanalika kirahisi na wazazi wenza).
Vijana tubadilike, kama hauna nia ya kumuoa usimpe mimba.
Uko sahihi Eve,lakini unakuta uliye zaa naye hakuhitaji tena kuzaa na wewe kwa mara nyingine kwa kuwa amesha oa tayari..
Sasa maisha yafaa nini bila tako, kama hana tako usioe....akikaa doggie utaslap mgongo???Hii ishara nzuri inaelekea wanitakia mema. Ebu niambi huyo mke niliyooa ana tako au kapigwa pasi?