Kama hauna nia ya kumuoa usimpe mimba

Kama hauna nia ya kumuoa usimpe mimba

Mwanaume ndio anaeweza kucontrol kwa kiasi kikubwa Wanawake wakiwa wanasex wanapoteza kabisa uwezo wa kufikiri mwanzoni anakupa tahadhari kabisa yupo siku za hatari ila katikati huko anakuambia mwagia ndani.

Katika sex at least Mwanaume uwezo wake wa kufikiri hubaki kwa kiasi fulani.

"Kama hutomuoa usimpe mimba" naunga mkono hoja.
Umewaza sahihi mkuu, lakini jiulize kwa nini asilimia 80 ya uzazi wa mpango upo kwa wanawake?, ukipata jibu hapo utaelewa namaanisha nini.
 
Point, it's a low IQ kulaumu umepewa mimba na kukimbiwa ikiwa una uwezo wa ku Analyze the worst-case Scenario toka mwanzo. It's all down to women mkuu.
Nafikiri umewajibu wanofikili tofauti.

1: Mwanamke ndie anejua mwili wake lini ni siku ya hatari na lini sio.

2: Mwanamke bila kumshirikisha mwanaume anaweza amua kutumia after pills baada ya tendo.

3: Bila kumshirikisha Mwanaume, Mwanamke anaweza kutoa mimba kwa njia yoyote ile.

Note: ukiona Mwanamke kabeba mimba na anakusema mwanaume tambua kua Anakudanganya ulikua mpango wake au umefanya mapenzi na mwanamke mjinga asiejua hata mwili wake.
 
Katika kuolewa mambo huwa ni mengi Bill kuna scenario nyingine ni ngumu unabaki kuachia muda uamue mfano umependana na mtu halafu home wanaleta figisu unafanya nini?

Kwangu kama mtu hajaolewa ila kazaa watoto hata 5 na mwanaume huyo huyo mmoja mimi kama mimi hii haina shida
Shida ni hii zaa zaa ya ovyo ovyo.

Kuna mdada alikua kaolewa ndoa kabisa kanisani wakaachana akiwa na watoto wawili cha ajabu nae alikua anataka kuzaa tena na mwanaume mwingine sasa huu si ujinga??? Si bora akategeshe mimba kwa huyo huyo mtalala....mi kwangu kuzaa zaa ni mwiko.

Basi mtu akosee azae na wanaume hata wawili unakuta mtu kazaa na wanaume sita tofauti jamani [emoji2301][emoji2301][emoji2301] inakeraa kwanza watoto wanakuwa hawapendani
 
Tatizo la waafrika ni tabia ya kutopenda kuambizana ukweli wakati unajilikana.

Njia pekee ya kukomesha haya ni hao dada zetu kuacha uzinzi wa kiholela na wasubilie ndoa, kwa sasabu kwenye uzinzi mwanamke ana asilimia 98 ya kupoteza dhidi ya mwanaume kwa hiyo hapo jukumu la kujilinda lipo kwao na sikwa mwanaume.

Kwani usipo fanya uzinzi na kusubilia ndoa utapungukiwa nn?

Yaan siku hizi sijui dada zetu wamepatwa na nn yaan unakuta binti mdogo wa miaka 18 amesha jitwisha majukumu makubwa ya kingono tena na watu wazima wenye familia zao, sasa unabaki unajiuliza huyu ana haraka gani?

Mm kuna mdogo wangu nilikuwa namuonya karibia kila siku juu ya tabia za uzinzi wa kiholela baada ya kuona mienendo yake hairidhishi lakini ni kama vile nilikuwa nampigia mbuzi gitaa.

Sasa mwaka juzi yamemkuta anaanza kujitiisha huruma na mbaya zaidi kaenda kuzaa na baba zima la miaka karibia 50 lina familia ya watoto wakubwa.

Mpaka sasa wamesha kuja karibia vijana 3 kumchumbia lakini wakijua kuwa ana mtoto wana mkimbia, alipo taka kujiliza nikamuambia kuwa kila binadamu ana Uhuru wa kufanya anacho kitaka lakini hana uhuru wa kuamuwa matokeo ya kile alicho kifanya kwa kutumia Uhuru wake.

Na sasa nimemwambia anatakiwa kuangalia ni namna gani ataanza ujasiliamali ili apate namna ya kutunza mtoto wake na kusomesha mtoto wake pale atakapo fikisha umri wa kwenda shule maana mzogo alijitafutia mwenyewe hakuna aliye msaidia.
Hamna kitu kigumu kama kumwelewesha binti aliye kati ya miaka 15-25,hawa helewi. Yani siku hizi binti hajafikisha hata miaka 20 tayari single mother, tena kazaa na mume wa mtu.
 
Kumbe una akili sana wee mwanamke👍

Imagine mwanamke anajua kabisa kipindi hiki mbususu inanyevua nyevua na kalenda yake inasoma danger days ila bado anaweka ubongo kwenye kapu anaacha nyumbani anajipeleka kupigwa pmb... bora nikiselfie tu asee kuliko kuweka placenta yangu rehani

Nilichokuja kugundua baada ya kujitambua ni kwamba asilimia kubwa sana ya wanawake hawajui mizunguko yao ya hedhi na hawana elimu ya kutosha kuhusu hedhi na mimba ndio maana hata idadi ya single mothers imeongezeka +mama wa marehemu
 
Basi mtu akosee azae na wanaume hata wawili unakuta mtu kazaa na wanaume sita tofauti jamani [emoji2301][emoji2301][emoji2301] inakeraa kwanza watoto wanakuwa hawapendani
Hata hao wawili labda wa kwanza afariki, yani labda mke wa katibu hivi akizaa ataeleweka
 
Na nyie wanaume mtumie mpango wa uzazi sio wanawake tu
Sasa komaa kushindana, kama mwanaume hatumii uzazi wa mpango na wewe acha kuutumia uone!

Ila ujue ikifika wakati wa kubeba mimba utabeba wewe na yeye atakuwa anagegeda chombo nyingine huko
 
Dada siku hizi unatambaa sana na beat! [emoji1787]
Wanaume wanataka jukumu la kuzuia mimba liwe kwa mwanamke tu kwani nyie mnataka kuzaa na kila mtu kila mtu ajichunge ati
 
Sasa komaa kushindana, kama mwanaume hatumii uzazi wa mpango na wewe acha kuutumia uone!

Ila ujue ikifika wakati wa kubeba mimba utabeba wewe na yeye atakuwa anagegeda chombo nyingine huko
Ndio usipotunza mbegu zako utapata watoto kila kona
 
Wanawake wengi hasa hawa rika la kati wengi hawajui mzunguko wao wa hedhi na siku za hatari wanajipeleka tu kupigwa mkuyati mwisho wa siku mimba inaingia. Kosa ni la wanawake wenyewe kutoitambua miili yao ni siku gani hatari kupata mimba na siku gani salama. Unakuta mdada kafika hadi university lakini elimu ya mzunguko wa hedhi hana

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kumekua na wimbi la akina dada kuzalia nyumbani hasa hawa wa miaka 19-26. Unakuta kijana anajua hana uwezo wa kuhudumia mimba na kuchukua majukumu kama baba lakini anazalisha tu.

Kuna hawa jamaa ambao wameshaoa, anakuwa na kamchepuko kwa tamaa zake, anakazalisha. Wakati uwezekano wa kumuoa haupo. Hii inachangia sana kujaza single mothers mtaani.

Hivi utajiskiaje kuona dada yako ambaye amezalishwa bila kuolewa na masela, anafika kwenye mwisho wa 20's anapatikana mtu mwenye nia ya kuoa lakini anasitisha kwa kuhofia kuoa single mother (maana single mothers wanalika kirahisi na wazazi wenza).

Vijana tubadilike, kama hauna nia ya kumuoa usimpe mimba.
Mimba siyo chakula useme unampatia mtu au kidonge, hujui process ya kupata mimba?
 
Hamna kitu kigumu kama kumwelewesha binti aliye kati ya miaka 15-25,hawa helewi. Yani siku hizi binti hajafikisha hata miaka 20 tayari single mother, tena kazaa na mume wa mtu.
Ukimshauri unaonekana una ushamba wa kizamani na wivu lakini yakisha wakuta wanaanza kutia huruma utadhani kuna mtu aliwarazimisha.

Binti akisha fikisha umri wa miaka 18 anatakiwa ajue namna ya kujilinda mwenyewe maana likitokea la kutokea yeye ndo ana poteza mwanaume hapotezi chochote.
 
Imagine mwanamke anajua kabisa kipindi hiki mbususu inanyevua nyevua na kalenda yake inasoma danger days ila bado anaweka ubongo kwenye kapu anaacha nyumbani anajipeleka kupigwa pmb... bora nikiselfie tu asee kuliko kuweka placenta yangu rehani

Nilichokuja kugundua baada ya kujitambua ni kwamba asilimia kubwa sana ya wanawake hawajui mizunguko yao ya hedhi na hawana elimu ya kutosha kuhusu hedhi na mimba ndio maana hata idadi ya single mothers imeongezeka +mama wa marehemu
Naomba ufafanuzi kuhusu kunyevua nyevua umeniacha njia panda[emoji848]
 
Sijui watu wengine huwa wanachukuliaje, mi kwangu kitendo cha kuzaa naona ni kikubwa sana kikubwaa mnooo yani kuzaa sijawahi kuichukulia kirahisi....nashangaa maamuzi ya watu leo kuzaa na huyu kesho kuzaa na yule kesho kutwa kuzaa kwingine, au kubeba mimba ya mtu na kumsingizia mwingine asee hapana....mabinti sijui wanakwama wapi kwanini uzae zae ovyo ovyo na uone ni kitu cha kawaida
Tamaa ya kuwa na maisha mazuri wasichana wa siku hizi wanaangalia mwanaume mwenye uwezo ndiyo wana zaa nao wakitarajia kupata huduma kupitia mtoto.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom