Kama hauna nia ya kumuoa usimpe mimba

Umewaza sahihi mkuu, lakini jiulize kwa nini asilimia 80 ya uzazi wa mpango upo kwa wanawake?, ukipata jibu hapo utaelewa namaanisha nini.
 
Point, it's a low IQ kulaumu umepewa mimba na kukimbiwa ikiwa una uwezo wa ku Analyze the worst-case Scenario toka mwanzo. It's all down to women mkuu.
Nafikiri umewajibu wanofikili tofauti.

1: Mwanamke ndie anejua mwili wake lini ni siku ya hatari na lini sio.

2: Mwanamke bila kumshirikisha mwanaume anaweza amua kutumia after pills baada ya tendo.

3: Bila kumshirikisha Mwanaume, Mwanamke anaweza kutoa mimba kwa njia yoyote ile.

Note: ukiona Mwanamke kabeba mimba na anakusema mwanaume tambua kua Anakudanganya ulikua mpango wake au umefanya mapenzi na mwanamke mjinga asiejua hata mwili wake.
 

Basi mtu akosee azae na wanaume hata wawili unakuta mtu kazaa na wanaume sita tofauti jamani [emoji2301][emoji2301][emoji2301] inakeraa kwanza watoto wanakuwa hawapendani
 
Hamna kitu kigumu kama kumwelewesha binti aliye kati ya miaka 15-25,hawa helewi. Yani siku hizi binti hajafikisha hata miaka 20 tayari single mother, tena kazaa na mume wa mtu.
 
Kumbe una akili sana wee mwanamke👍

Imagine mwanamke anajua kabisa kipindi hiki mbususu inanyevua nyevua na kalenda yake inasoma danger days ila bado anaweka ubongo kwenye kapu anaacha nyumbani anajipeleka kupigwa pmb... bora nikiselfie tu asee kuliko kuweka placenta yangu rehani

Nilichokuja kugundua baada ya kujitambua ni kwamba asilimia kubwa sana ya wanawake hawajui mizunguko yao ya hedhi na hawana elimu ya kutosha kuhusu hedhi na mimba ndio maana hata idadi ya single mothers imeongezeka +mama wa marehemu
 
Basi mtu akosee azae na wanaume hata wawili unakuta mtu kazaa na wanaume sita tofauti jamani [emoji2301][emoji2301][emoji2301] inakeraa kwanza watoto wanakuwa hawapendani
Hata hao wawili labda wa kwanza afariki, yani labda mke wa katibu hivi akizaa ataeleweka
 
Na nyie wanaume mtumie mpango wa uzazi sio wanawake tu
Sasa komaa kushindana, kama mwanaume hatumii uzazi wa mpango na wewe acha kuutumia uone!

Ila ujue ikifika wakati wa kubeba mimba utabeba wewe na yeye atakuwa anagegeda chombo nyingine huko
 
Dada siku hizi unatambaa sana na beat! [emoji1787]
Wanaume wanataka jukumu la kuzuia mimba liwe kwa mwanamke tu kwani nyie mnataka kuzaa na kila mtu kila mtu ajichunge ati
 
Sasa komaa kushindana, kama mwanaume hatumii uzazi wa mpango na wewe acha kuutumia uone!

Ila ujue ikifika wakati wa kubeba mimba utabeba wewe na yeye atakuwa anagegeda chombo nyingine huko
Ndio usipotunza mbegu zako utapata watoto kila kona
 
Wanawake wengi hasa hawa rika la kati wengi hawajui mzunguko wao wa hedhi na siku za hatari wanajipeleka tu kupigwa mkuyati mwisho wa siku mimba inaingia. Kosa ni la wanawake wenyewe kutoitambua miili yao ni siku gani hatari kupata mimba na siku gani salama. Unakuta mdada kafika hadi university lakini elimu ya mzunguko wa hedhi hana

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mimba siyo chakula useme unampatia mtu au kidonge, hujui process ya kupata mimba?
 
Hamna kitu kigumu kama kumwelewesha binti aliye kati ya miaka 15-25,hawa helewi. Yani siku hizi binti hajafikisha hata miaka 20 tayari single mother, tena kazaa na mume wa mtu.
Ukimshauri unaonekana una ushamba wa kizamani na wivu lakini yakisha wakuta wanaanza kutia huruma utadhani kuna mtu aliwarazimisha.

Binti akisha fikisha umri wa miaka 18 anatakiwa ajue namna ya kujilinda mwenyewe maana likitokea la kutokea yeye ndo ana poteza mwanaume hapotezi chochote.
 
Naomba ufafanuzi kuhusu kunyevua nyevua umeniacha njia panda[emoji848]
 
Tamaa ya kuwa na maisha mazuri wasichana wa siku hizi wanaangalia mwanaume mwenye uwezo ndiyo wana zaa nao wakitarajia kupata huduma kupitia mtoto.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…