Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,374
- 1,201
Point!Ulimwengu wa roho una sehemu mbili.
Wapi sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point!Ulimwengu wa roho una sehemu mbili.
Wapi sasa.
I second you..Wakuu ulimwengu wa biashara upo kiroho zaidi
Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho.
Nimefanya biashara kubwa nimejionea hili swala.
Don't hustle in vain nigga
Pray pray pray.
Mbona hata mambele wanaamini kitu hiki mfano mzuri ni Napoleon Hill mwandishi wa kitabu cha THINK AND GROW RICH.Huu ujinga utausikia nchi maskini tu.
Hahahah kwenye ubora wakoHuu ujinga utausikia nchi maskini tu.
Mkuu sikia.....Huu ujinga utausikia nchi maskini tu.
🚮🚮Mkuu sikia.....
Hapa Marekani makampuni makubwa mengi yameajiri mtu maalum kwa ajili ya kuangalia hali ya kiroho ya kampuni na jukumu lake kubwa ni kuiombea kampuni..
wenyewe wanasema spiritual well being and promote a positive work environment. kama sikosei wanaitwa Corporate chaplains ....masuala ya kiroho na ushauri hawa watu wanamuomba Mungu usifanye mchezo......wakiamini inaongeza uzalishaji/faida...pia better work life balance to navigate personal na proffessinal challenges...hii ni mpaka mahospitalini kuna dogo hapa jirani alikwenda kufanyiwa operation ya moyo..madaktari bingwa wakapiga magoti na kuanza kuomba kwa jina la YESU..
Amini kwamba.
We si nimwalimuKumbe nipo vizuri kiroho ndio maana hata nikiuza simu kwa buku Teni nikaanzishe biashara inaisha afu pesa sipati yaani ile hela naweza ikuza mpaka laki moja had tano ila hela sioni
Kwamba kuamini kuna uhusiano gani na mafanikio? Vip ambao hawaamini ila wamefanikiwa pia ?Mbona hata mambele wanaamini kitu hiki mfano mzuri ni Napoleon Hill mwandishi wa kitabu cha THINK AND GROW RICH.
Kabsaa aiseeWakuu ulimwengu wa biashara upo kiroho zaidi
Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho.
Nimefanya biashara kubwa nimejionea hili swala.
Don't hustle in vain nigga
Pray pray pray.
Hayo mambo ni kwa africa huko kwingine hawana hizo mambo sana.Wakuu ulimwengu wa biashara upo kiroho zaidi
Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho.
Nimefanya biashara kubwa nimejionea hili swala.
Don't hustle in vain nigga
Pray pray pray.
Hakuna asiyeamini,usipomuamini mungu utaamini uchawiKwamba kuamini kuna uhusiano gani na mafanikio? Vip ambao hawaamini ila wamefanikiwa pia ?
We jamaa unajukuta nani 😁Kwamba kuamini kuna uhusiano gani na mafanikio? Vip ambao hawaamini ila wamefanikiwa pia ?
Nchi maskini tabu tupu ,majitu yanarogana kila sikuHuu ujinga utausikia nchi maskini tu.
Siamini chochote kati ya hivyo.Hakuna asiyeamini,usipomuamini mungu utaamini uchawi
Kuna roho za mizimu, majini is vibwengo, Roho Mtakatifu nk..Ukiachana na kuwa smart kichwani Ila inabidi uwe vizuri kiroho.
Mkuu huu mchango wako ni wa thamani sana...Mkuu sikia.....
Hapa Marekani makampuni makubwa mengi yameajiri mtu maalum kwa ajili ya kuangalia hali ya kiroho ya kampuni na jukumu lake kubwa ni kuiombea kampuni..
wenyewe wanasema spiritual well being and promote a positive work environment. kama sikosei wanaitwa Corporate chaplains ....masuala ya kiroho na ushauri hawa watu wanamuomba Mungu usifanye mchezo......wakiamini inaongeza uzalishaji/faida...pia better work life balance to navigate personal na proffessinal challenges...hii ni mpaka mahospitalini kuna dogo hapa jirani alikwenda kufanyiwa operation ya moyo..madaktari bingwa wakapiga magoti na kuanza kuomba kwa jina la YESU..
Amini kwamba.
Yapo sana tu. Tena wao wameandika vitabu kabisa kama THE RICHEST MAN IN BABYLON na THINK AND GROW RICH. Hata RICH DAD POOR DAD imegusia hili.Hayo mambo ni kwa africa huko kwingine hawana hizo mambo sana.
Badi huwezi kutoboaSiamini chochote kati ya hivyo.