Kama haupo vizuri kiroho ni ngumu ku-run biashara kubwa

Ukitaka nguvu ya kiroho ni lazima uwe na utaratibu wa kusoma biblia kila siku amka ata mara tatu kwa wiki usiku saa kumi kumshukuru Mungu omba rehema omba hitaji lako Mungu akutendee acha dhambi toa sadaka ya kupanda mbegu sadaka ya ujenzi,toa malimbuko toa zaka hivi ndio unavyoenda kupata utajiri
 
Huu ujinga utausikia nchi maskini tu.
Mkuu sikia.....
Hapa Marekani makampuni makubwa mengi yameajiri mtu maalum kwa ajili ya kuangalia hali ya kiroho ya kampuni na jukumu lake kubwa ni kuiombea kampuni..
wenyewe wanasema spiritual well being and promote a positive work environment. kama sikosei wanaitwa Corporate chaplains ....masuala ya kiroho na ushauri hawa watu wanamuomba Mungu usifanye mchezo......wakiamini inaongeza uzalishaji/faida...pia better work life balance to navigate personal na proffessinal challenges...hii ni mpaka mahospitalini kuna dogo hapa jirani alikwenda kufanyiwa operation ya moyo..madaktari bingwa wakapiga magoti na kuanza kuomba kwa jina la YESU..
Amini kwamba.
 
🚮🚮
 
Mkuu huu mchango wako ni wa thamani sana...

Unajua ndio maana hata watu wanaogopa kuoa, sisi watu weusi tusipoangalia mbeleni wanaume hawatakuwa na nguvu yoyote kimaamuzi tuweni makini sana na zawadi ya maisha tuliyopewa.

Watu hawataki kujua nini chanzo cha hofu zao zinazowaambia wasioe, wanakubaliana nazo, wanasema bora liende, KATAA NDOA... Ndio wameona ni solution...
 
Back
Top Bottom