GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matano ya CAFCL
Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matatu ya CAFCC
Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe amefika CAFCL Semi Finals mara 19
Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ametinga CAFCL Group Stage mara 24
Ogopa sana Mwerevu akijua Wewe ni Mpumbavu halafu akaamua kuja Kukusanifu na Wewe kujiona una Akili Kubwa. Yaani kabisa Lionel Messi aje Kujifunza Kucheza Mpira kwa Clement ( Warid ) Mzize? Hivi hili linawezekana? Halafu tukidharauliwa hatuna Akili tunakasirika.
Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya KURITHI na ya KISHETANI na kwa KUTESWA na NYOTA YANGU KALI kutoka kwake MWENYEZI MUNGU ALIYONIBARIKI / ALIYONITUNUKU nayo tokea ANANIUMBA acha Kusoma Mada zangu kwani Sijakulazimisha na wala sijakushikia Mtutu wa Bunduki Usome au uwe Unanisoma hapa Jamiiforums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" na hakutotokea mwingine wa kufanana nami.
Nimemaliza.

ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU