Kama haya ndiyo Mafanikio makubwa ya TP Mazembe kwa Soka la Afrika ambalo Yanga SC bado Wanajitafuta, walichokuja Kujifunza Kwao ni nini / kipi?

Inaonekana watanzania wengi mna mihemko tu hamfatilii wa kutaka kujua mbona TP Mazembe walisema kile kilichowafanya waje Yanga lkn cha kusikitisha apa Sisi watanzania tuna wivu tu bac
Walisemaje? Tukumbushe kwani tuko busy na yanayoendelea kwa majirani Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…