Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

Kampuni kubwa na maarufu za kiteknolojia kama Microsoft, Google, Apple, Sony nk zina uhusiano na hawa American elites? Na ushoga ni moja ya agenda yao? Maana tunaona hata MSM wanaupromote sana mfano BBC hata CEO wa Apple nae katangaza wazi ni shoga unafahamu chochote?
 

Kwa hili la vyakula nafikiri Dar ndo itakuwa ya kwanza kuwa victim!
 
Hauwezi kuwatenga hizi social media na ushoga au na agenda ya NWO.

Mara nyingi wanatumia symbolism any occultist wanacommunicate kwa kutumia alama na ishara hii ni mada pana sana ila nitakupa kionjo symbolism inafanyaje kazi kwenye secret societies. Hasa kwenye hili swala la ushoga.

Hii ni the first apple icon
Hii ni nembo ya zamani ya instagram

Hii ni nembo ya Microsoft
Hii ni nembo ya google

Hii ni nembo ya NBC
Na hii ni nembo ya ushoga same-sex flag
Usije ukadhani huo mfanano wa rainbow kwenye hizo icons imetokea tu kwa bahati mbaya kila detail hapo ina maana nyuma ya pazia na symbolism ndio identity yao kubwa.

Wakati wa ujenzi wa mnara wa Babel wale wajenzi masons walivurugiwa lugha na Mungu wasielewane na kushindwa kuendelea na ujenzi na King Nimrod ndiye founder wa Freemasonry ikumbukwe king Nimrod ndiye aliye plan ujenzi wa Babel tower ili kumuonyesha Mungu kwamba wanadamu wanayo power zaidi yake na eanaweza pia kujenga mnara mpaka ukamfikia Mungu mwenyewe mbinguni.

Mungu alipochafua usemi wao na kuvuruga lugha yao wasielewane ndipo walipokuja na lugha ya alama ambapo Freemasonry wanatambuana kwa alama na wanaamini hauwezi kubadili namna ya kutazama kama unavyoweza kubadili namna ya kuongea (lugha)
Ni somo pana sana tafuteni mtaelewa namna dunia inavyoenda.


Genesis Chapter 11

1 And the whole earth was of one language, and of one speech.

2 And it came to pass, as they journeyed from the east, that they found a plain in the land of Shinar; and they dwelt there.

3 And they said one to another, Go to, let us make brick, and burn them throughly. And they had brick for stone, and slime had they for morter.

4 And they said, Go to, let us build us a city and a tower, whose top [may reach] unto heaven; and let us make us a name, lest we be scattered abroad upon the face of the whole earth.

5 And the LORD came down to see the city and the tower, which the children of men builded.

6 And the LORD said, Behold, the people [is] one, and they have all one language; and this they begin to do: and now nothing will be restrained from them, which they have imagined to do.

7 Go to, let us go down, and there confound their language, that they may not understand one another's speech.

8 So the LORD scattered them abroad from thence upon the face of all the earth: and they left off to build the city.

9 Therefore is the name of it called Babel; because the LORD did there confound the language of all the earth: and from thence did the LORD scatter them abroad upon the face of all the earth.
 
Je kwa mataifa hayo uliyoyataja idadi ya watu imepungua, iko vilevile au imeongezeka?
 
Haoni wapuuzi tuu wapo kwa ajili ya ku'create fear kwa walimwengu tuu... Na mpango wao huo..BC.!!
"" qur nafsi dharikar mauty""..
Tumekuja kwa udongo tutarudi kwa udongo...... Na wao hawatatoka kwenye mtego huo...
 
Je kwa mataifa hayo uliyoyataja idadi ya watu imepungua, iko vilevile au imeongezeka?
Watu hawatazami hivyo.

Jiulize je kama wasingeuwawa wakaachwa waishi wazaliane idadi ingekuwaje muda huu ukiwajumuisha na hawa waliopo sasa?
 
Na mimi ni miongoni mwa washirika wa NWO
 
Mwenye makala inayohusu malengo na mikakati ya NWO atupie hapa hasa Historia yake
 
Hilo la watu milion 500 halitawezekana kamwe

Haliwezekani kabisa japo watakufa wengi sana. Ninachoamini mimi ni kwamba hii dunia wataiharibu lakini wataiacha kama walivyo ikuta tu.
Mwenye dunia yupo na hawezi ruhusu.
 
Hapo kwenye kupunguza IQ ndo wanachemsha maana IQ ikiwa chini mtu hawezi kutafakari maswala ya uzazi wa mpango atakuwa anasukumwa kimwili zaidi badara ya akili. Akipevuka tu anaweza anza kuzaa, sasa watapunguzaje population kwa kushusha IQ za watu?
 
Haliwezekani kabisa japo watakufa wengi sana. Ninachoamini mimi ni kwamba hii dunia wataiharibu lakini wataiacha kama walivyo ikuta tu.
Mwenye dunia yupo na hawezi ruhusu.
Kuua wataua sana mkuu sina tatizo nako hapo ,ila hata waue vipi bado hiyo milioni 500 hawataifikia ,Ni kweli mwenye dunia yupo na asilani hatoruhusu ,unless uwe mwisho wetu wanadamu wote
 
Weka link
 
Kama mpango huo upo toka babeli mpaka leo bado haujafika mwisho wake unatuhusu nini mpaka mtukondeshe kwa mawazo?
 
Kama mpango huo upo toka babeli mpaka leo bado haujafika mwisho wake unatuhusu nini mpaka mtukondeshe kwa mawazo?
Umeshakamata dunia nzima mpaka muda huu wanavyo vyombo vyao navyo ni IMF, NATO, WB, UN (hivyo vyombo ni kuwachapa mataifa yote wanaonda kinyume na agenda zao) sasa unataka wafikie wapi tena saivi mission ni kua na serikali moja ulimwenguni na dini moja ulimwenguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…