herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,198
- 1,369
Kati ya families chache zinazoitawala dunia kuna hii nyingine ambayo pia ni ya kiyahudi na ina bloodline na ya Rothschild inayoitwa the Rockefeller hii family imeanzishwa na John Davidson Rockefeller kutoka Germany ni tycoon wa oil sector world wide na inasemekena ndiye anayemiliki oil business kwa percentage kubwa.
Ni mmarekani mwenye pesa kuliko mmarekani yeyote aliyewahi kuishi ulimwenguni and he will never fall down wanamuita the first American rich of all times. Alianza na company ya standard oil miaka ya 1850 na kufanikiwa kuteka soko la mafuta ulimwenguni kote.
Standard oil dissolved na zikazaliwa companies kubwa za mafuta duniani zinazomilikiwa na family moja nazo ni Exxon Mobil, chevron, BP plc na Marathon oil/petroleum, pia ndio wamiliki wa Rockefeller Center NY, real estate, biggest industrial empire, universities, churches, world trade center na pia hii family ndio mastermind wa September 11, vita vingi duniani hawa ndio wanasupport na conflicts for their profit gain.
Rockefeller ndio wanaomanipulate federal reserve sakishirikiana na family chache za the round table ndio wanacontrol every central bank worldwide uchumi wa dunia umetekwa na capitalism na federal reserve pia ndio owner wa Chase Manhattan Bank. Federal reserve ndio inasimamia rates na capital circulation ya makampuni yote yaliyoshika uchumi wa dunia pale New York Stock Exchange.
![]()
David Rockefeller ameshafanyia heart transplants zaidi ya 6 ndie alietekekeza shambulio la September 11 pale world trade center ili kuanzisha vita ya na kupata mafuta kwa urahisi hawa ndio wanamuweka rais yeyote madarakani na wakitaka atoke lazima atatoka tu.
Hapa David Rockefeller akiwa confronted na activists kuhusu agenda zao za New World Order na amekosa la kujitetea.
Kampuni kubwa na maarufu za kiteknolojia kama Microsoft, Google, Apple, Sony nk zina uhusiano na hawa American elites? Na ushoga ni moja ya agenda yao? Maana tunaona hata MSM wanaupromote sana mfano BBC hata CEO wa Apple nae katangaza wazi ni shoga unafahamu chochote?