Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

Unapoainisha tatizo,uwe na ushauri wa kusolve.....enhe unatushaurije sasa mkuu,au umeamua kutuongeza mastress asubuhi yote hii!
 
Kwa mungu ukimwi ni cha mtoto,kanisani kwetu ukimwi watu wanapona
Bila shaka kanisa lenu linafanana na yale yanayomilikiwa na akina goe davie na mwingira.

ambapo ili wakuombee upone maradhi, sharti uwatumie kitu kidogo kwenye tigopesa au mpesa.
 
Wao wanaopanga hayo wataona mafanikio hayo kabla hawajafa?
 
Kuwapunguza watu hata wafanye nini hawataweza,fikilia kila siku watu wanakufa mahospitalini,mabarabarani n.k lakini pia watoto wa kumwaga wanazaliwa mwanawane!! kwa speed tu ya vifo vilivyopo hapa chini ya jua tungeshaisha,hvyo basi,mpango wao %99 umekwama,watu wanalala wanapukuchana kila siku mimba ni za kumwaga watawezaje kuwapunguza watu?hapo wameingilia utaratibu wa MUNGU na wataisha wao na wengine kuongezeka
 
Watu tunatakasa vitu kabla ya kula au kutumia anyway hakuna atakayeishi milele hivyo hata wao watakufa tu
 
Basi kama kweli itakuwa mipango yao imefeli, maana miaka michache niliyoishi duniani naona ongezeko la watu ni kubwa kuzidi kupunguwa kwao, hizo zitakuwa planeless
 
Kwa sasa kuna interraction sana za watu sidhani kama enz za mababu kulikua na hata na Ebola?
Yes hapakuwa na ebola, hata usafiri wao ulikuwa punda na farasi, hawakuwa na umeme, safari zao majahazi tu, sasa ukitazama na sisi sasa sijui kizazi kipi kimepiga hatua muhimu wao au sisi?
 
Stress tu ndio zitakazo kupunguzia maisha utawaza sana hivi vitu na utakata tamaa kumbe vitu vyenyewe havipo alieanzisha mpango huwo mpaka wabaki idadi hiyo ya watu yeye mwenyewe atakuwa hayupo tena duniani ukisikia kuuwa watu KI saikolohia ndio huku
 
Yes hapakuwa na ebola, hata usafiri wao ulikuwa punda na farasi, hawakuwa na umeme, safari zao majahazi tu, sasa ukitazama na sisi sasa sijui kizazi kipi kimepiga hatua muhimu wao au sisi?
Science na technology imeongezeka sana lakini ajabu mateso yamezidi kuwa makali unajua sababu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…