Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

Sasa hao Wanyonge wakiendelea kumkumbuka sisi inatusaidia nini?

Wanyonge wakimchukia Samia na wenye maisha mazuri na ya kati wakimpenda huoni ni faidia?

Maana Wanyonge wenu hao hawana faida kwenye Nchi zaidi ya kutumia kama nyumbu wa Kisiasa.
 
Kila mmoja ana feelings zake. Hata ukienda German utakuta sympathisers wa Adolf Hittler wa kumwaga tu. Na wana siku rasmi ya kumkumbuka kwa maandamano.

Huyu Magufuli anakumbukwa na wajinga ambao ni zaidi ya 90% ya Watanzania including wewe mwenyewe Nyankurungu2020.

Sisi tutaendelea tu kuwasomesha taratibu kuwa Magufuli alikuwa kiongozi wa HOVYO na ndiyo maana ALIKUFA akiwa madarakani na ulinzi wa kutosha na madaktari bingwa wote
 
Aliyeasisi hayo yote ya kumtukana marehemu ni mrithi wake.

Sasa anahaha kusaka msaada kwa ndugu wa marehemu
 
Umeamka na njaa na stress? Ungeamka na shem mkali,ukaoga saafii,kisha ukapata supu nzito na chapati usingekumbuka wendazao asubuhi asubuhi hivi!! Tafuta ela dogo kulala nanjaa utajakabwa na majinamizi,ukimbizwe na mizuka mpaka ukome
 
Magufuli alikuwa TAKATAKA tu haijalishi anakumbukwa na na nani!! Kama Mungu asingeingilia kati hii Tamzania ilikuwa inahaei ila kama Somalia au Zimbabwe
 
Rais yeyote aliyepita ni Bora kuliko ajaye. Hata Samia ni Malaika compared to rais ajaye.
Sio kweli, huo ni uongo!! Mbona Kikwete hakuwa bora kuliko JPM. JPM was the best president in Tanzania. Utake usitake. Unune usinune. Kikwete was, the worst
Magufuli alikuwa TAKATAKA tu haijalishi anakumbukwa na na nani!! Kama Mungu asingeingilia kati hii Tamzania ilikuwa inahaei ila kama Somalia au Zimbabwe
Acha chuki za uongo. JPM alikuwa, mbaya kwa, wenye vyeti fake, CDM kwa kuwa walikosa hata ubunge ambao ndio urais wao,Mafisadi wakubwa etc
 
Mbona na yeye alikuwa na PhD FAKE na bado akawa Rais? Kuwa na cheti FEKI hayamzuii mtu kuchangia hoja. Au hulijui hilo? Mbona na yeye amekufa akiwa fisadi ambaye hakutueleza Tsh 2.4 Trillion zilikwenda wapi as per CAG 2016-18 report!!.

Nyie vichwa panzi JPM aliwadanganya sana.
 
Nani alikwambia kuwa JPM alikuwa, na PhD fake??? Huo ni uongo. Tatizo mnawasikiliza watu wapumbavu na waongo na nyie mnaamin ujinga. Ukisema, PhD fake maana yake alinunua hiyo PhD kama wakina Dialo. Kitu ambacho sio kweli. Alidefend seminar zote na akapita.Ninawajua masurpervisor wake wote. Sasa PhD fake kivip?Watanzania wengi mnaongozwa na uongo. Mnapenda kusikia uongo wa, CDM. CDM wanamidomo tu hawana kitu. Ndio maana,Mbowe alipata zero form four. Lakin wao wanapenda kutoa vyeti vya Nape vya, form four , hawatoi vya Mbowe.
 
Mkuu wanyonge ndio kina nani??
Ndio hawa wakulima ambao wamepata ruzuku ya mbolea na kuruhusiwa kuuza mazao yao watakavyo kwa bei iwalipayo?

Wanyonge ndio kina nani? Ndio hawa wanafunzi wa chuo ambao mikopo imeongezeka na kinyongeo cha retention kuondolewa?

Wanyonge ndio kina nani??
Ndio hawa wafanyakazi ambao madaraja yao yamepanda na mishahara Yao kuongezeka kwa jinsi mbali mbali?

Wanyonge ndio kina nani?? Makundi ni mengi yakuorodhesha yaliyopata nafuu na kuanza kuimarika kiuchumi baada ya Mwendazake, mpendwa wako JPM! Licha ya hayo, wanyonge ndio kina nani?

Mkuu kila siku unaimba na kulazimisha kuita watu wanyonge, wamekutuma lini uwaite wanyonge? Tuambie vizuri wanyonge ndio kina nani??

Nakuuliza tena wanyonge ndio kina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…