Yaan nimecheke.Usinichekeshe ndugu yangu. Mbon
Yaan ndugu unaongea vitu vya uongo, sana kwa, kuwa haujui kitu kuhusu research. Nyie ndio hamjui chochote kuhusu issue fulani basi mnadandia.Hili ufanye utafiti wa masters au PhD lazima uangalie wengine wamefanya nn.Tunaita literature review. Ndio maana zinaitwa research.Labda nichukue muda huu kukufundisha vizuri. Si vibaya kuwa, na title inayofanana hata kwenye PhD level. Kinachotofautishwa na kuwa noted ni kwenye statement of the problem na pia research gap ni vitu hivi: 1.Contexual gap,2: Methodology gap, 3:Theoretical gap . Sasa nikufafanulie kuhusu contexual gap:Kama Tittle ya research ilifanyika ulaya, unaweza kujenga primary reason na kuifanya Tanzania. Inakubalika. Methodology gap. Unatumia, different methodology ili kupata jibu tofauti. Mfano kama walitumia, primary data unaweza unatumia secondary data au kama walitumia regression analysis unaweza, unatumia SEM na ukapata Majibu tofauti. Theoretical gap. Hii ndio muhimu kabisa. Unatumia deductive approach kutests theory mbalimbali ili kupata theory zinazofit study yako. Usisikilize maneno ya watu wajinga, jaribu kuwa na uelewa. Yaan ww unaleta Majibu ya kusikia na uongo tupu. Haujui chochote.