Kama hayati Magufuli alikiwa dhalimu mbona anakumbukwa na raia wanyonge kila kona na wanamchukia rais Samia?

Alicheza na akili za wajinga wengi, na watu walitangaziwa alichotaka yeye, na sio walichotaka wao. Hao wanaomkumbuka ni waliotekwa na propaganda zake. Na werevu wote alitumia udhalimu wake kuwafanyizia.
 
Wewe ni mpumbavu. Ungekuwa umenipotezea using jibu post yangu. Wewee ni kiazi mbatata tu
Yaan, unaponitukana matusi kama hayo ni dhahiri shahiri kuwa upo chini sana, vichochoroni huko. Thus, matusi hayo unajaribu, kujifariji lakin ndio hivyo tena, ww ni wa huko. Mm na, ww, ni mbingu na nchi. Pole sana.
 
Labda umemkimbuka wewe mushuti
 
Sasa hao Wanyonge wakiendelea kumkumbuka sisi inatusaidia nini?

Wanyonge wakimchukia Samia na wenye maisha mazuri na ya kati wakimpenda huoni ni faidia?

Maana Wanyonge wenu hao hawana faida kwenye Nchi zaidi ya kutumia kama nyumbu wa Kisiasa.
Swali zuri sana
 
Jiwe hana mtu mwenye akili akamkumbuka
 
Vitu vyote unatakiwa kuwa, na udhibitisho kuwa, ni kweli au uongo. Usipende kuishi kwa kusikia uongo. Leo naomba, ujifunze usipende kuamini na kuongea uongo. Labda nikuulize, ulimwona akimuua? Hayo ni maneno ya waongo.
Wewe ndo mwongo.
 
Pole masikini na madua yako ya kimasikini kabisa.
Mwisho lazima uwepo, lkn kumchukia JK kwa kipindi hiki wajitesa bure tu.
Kazana na ww uiinue family yako lbda ipo cku utamkaribia JK
 
Wewe ndo huna ujualo.
Marehemu anakutesa sn kwa sabb akili zenu hazitaki kuamini kuwa jitu lile katili lilishajifia na kamwe halitorudi tena
 
Pole masikini na madua yako ya kimasikini kabisa.
Mwisho lazima uwepo, lkn kumchukia JK kwa kipindi hiki wajitesa bure tu.
Kazana na ww uiinue family yako lbda ipo cku utamkaribia JK
Sisi ni watu tuliozaliwa, kuchukia dhuluma. Siku inakuja wahuni wote, watarudisha Mali za watanzania. Mali tunazo kwa kutumia akili ya kuzaliwa sio kuiba mali za watanzania. Siwez na sitathubutu kuiba mali ya umma. Nita chukua tu haki yanngu Subiri ndugu siku inakuja sio mbali.Omba tu uhai.
 
Ww kweli mfuasi wa Marehemu.
Bila shaka we ni miongoni mwa wale Marehemu akiwaita wanyonge na ndio mnaomlilia.
Ni rahisi sana kwako kumfuata Magu huko aliko kuliko kudhani eti labda ipo siku atarudi
 
Hadi chadema wwnyewe wanamkumbuka, saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…