Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

Kwani chama huwa kinaangalia idadi ya wanachama au ubora?

min short kila mmoja ana maana when it comes to politics

hata wewe chadema Wanakuona wa maana ingawaje deep inside unajijua kwamba huna maana yoyote zaidi ya kelele tu za kipinzani
Hiyo idadi wanaangalia mahakamani?!!
 
Na akitoka huko anaenda kupumzika Dubai au Sauzi Africa
 
Sio kwamba kimekufa kama mlivyoelekezwa na marehemu?
 
kesi hii uwezi iita ya kubambikiziwa ni mhakama pekee na ushahidi uliopo ndivyo vitatupa directions na ukweli tuvute subira

1.Hujawahi kusikia SSH akisema polisi wamekuwa wakibambikia watu kesi?
2. Hujawahi kusikia hata moja ya kesi mamia kidogo ambazo serikali na taasisi zake zikiwamo polisi wamekuwa wakibambikizia kesi.
3. Hujawahi kusikia kesi hata moja ikifutwa kwa sababu ni ya kubambikiziwa mtu?
4. Polisi walishaacha shughuli yao pendwa hii yenye maslahi makubwa kwa CCM na serikali?
5. Kesi hii ni kama hizo hapo juu. SSH anajua hivyo. Bila shaka Sirro, Muliro, wengi na hata wewe unajua hivyo.
 
Jipe moyo ila usisahau kuwaliza mapolisi wenu kinachowahangaisha basi ni nini
 

Nadhani muda wao mwingi hawa CHADEMA wanautumia kupiga ganja. Sehemu kubwa ya mipango yao haifanani kabisa na mipango ya watu wanaotumia akili au busara ya kawaida!
 
Lakini hoja mezani hazmiwezi bila ya nguvu ya dola.
 
Ulitaka hadi afike mama yako ndiyo ujiridhishe?
 
Wanamsemo wao huibiwa kura kila uchaguzi.
 
Anaeamini kwamba chadema itashinda hata serikali za mitaa achilia mbali uchaguzi mkuu kwa aina ya siasa zao wanazoendesha sasa hivi, basi akajipime akili mwenyew kabla ya kuvua nguo na k...
OK tukubali mawazo yako.
Jee uwezo wakushindana bila ya ujinga vyombo vya dola unaweza.

Rejea kauli ya aliyekuwa katibu wako Bashiru.
 
Mbowe needs to retire from politics...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…