Tzmzalendo og
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 337
- 136
May be mngesema atleast wameitarget africa as whole labda eti tanzania kisa 50/50 wakati mikataba ya 80/20 walikuwa wanaitaka waafrica wenzetu wenyewe
Hahaha look at you man.. for those who see beyond.Kwa upeo wako ndo hvoo, 4 those who see beyond Kuna correlation
Logic gan๐๐, tatzo bongo ka mtu kana degree flan kanahis ndo ka genius tz nzima, uzr hi n art ingekuw science tungeshusha calculation na principles hapa tuone anayekula Kona๐๐Hahaha look at you man.. for those who see beyond.
I applied logic.. not random theory.
Hahaha kuna mahali nimejiita geniuz.? Kuna mahali nimestate educational background yangu nope.Logic gan[emoji23][emoji23], tatzo bongo ka mtu kana degree flan kanahis ndo ka genius tz nzima, uzr hi n art ingekuw science tungeshusha calculation na principles hapa tuone anayekula Kona[emoji23][emoji23]
Wazungu kwani tumewakosea nini hatu watufute kwenye sura ya dunia?
Walitupeleka utumwani, tukatumika kwa utii mkubwa, walitutawala na kuitumikisha huku wakipora utajiri wetu hatukupinga.
Sasa shida ni juu ya Nini Tena?
Anyway mengine maybe n mitazamo ya mtu, like religions, ( Christians, Muslims etc)Hahaha kuna mahali nimejiita geniuz.? Kuna mahali nimestate educational background yangu nope.
Dont be delusional man , ku assume character ya mtu wkt humjui unaonekana delusional.
Chill & relax.. si lazima wote tufanane.
Una mawazo mazuri ila tambua hofu ya baadhi ya nchi za kiafrika ni kwamba sisi ni nchi ambazo hatujaua wengi kama wao wenzetu na isitoshe kwann hawajaanza kwao ambapo wanaumwa wengi na ugonjwa huo upo kwa kasi! Watuonee huruma sisi kivip?
Lazima wakati mwingne unatakiwa ufikirie mbali hili jamboo kwasababu wazungu sio watu wazur kabisa kwetu uzur wao kwetu ni unyonyaji!
Kwaio mzungu siku zote atakaa na wewe kwaajili ya kitu fulani ila kama unaubongo wa kulala siku zote utajua madhara yake baada ya miaka 10 au 20 !
Nyakati zinabadilika, mitazamo hubadilika, malengo hubadilika..... Kimsingi watakuwa kuchukua tahadhari kubwa sana kwa sasa. Ongezeko kubwa na la kasi la watu duniani ni tishio kwa viranja wakuu wa dunia. Tusisahau kuna watu wanaiendesha dunia kwa RIMOTI hivyo wanaweza amua chochote....wataumia wao na sisi weusi pia.... Km ndivyo ni mpango wa kidunia hakuna aliye salama ila weusi usalama wetu ni mdogo zaidi ya wao.Polio, ndui, kifaduro, pepopunda, TB, nk ni chanjo ambazo wengi wetu tumechanjwa utotoni. Na huenda kupitia chanjo hizo ndiyo sababu ya kuwa hai hadi leo tunapotunisha misuli majukwaani.
Halikadhalika ukienda kwa upande wa Mifugo,kuna chanjo nyingi mifugo yetu huchanjwa kukinga magonjwa mbalimbali. Hivyo chanjo ni kitu muhimu kwa binadamu na wanyama hasa kwa magojwa yale yasiyotibika kwa tiba za kawaida.
Kwa uelewa wangu,zaidi ya 99% ya chanjo hizo za binadamu zimetengenezwa nje ya nchi( hasa ulaya) kupitia uangalizi wa Unicef na WHO. Ni nani aliwahi kuhoji kuhusu usalama wake? Na kama alihoji,ni hatua ,zipi za Serikali zilichukuliwa kupata mbadala wake? Na je, viongozi wa awamu zilizopita wangeamua kusitisha kuziingiza nchini, nini kingetokea?
Tumesikia kwenye vyombo vya habari kuhusu ligi inayoendelea kuhusu chanjo ya Covid- 19 hasa kwa nchi zetu changa kupanga kuikataa. Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa, kwa nchi changa, hofu siyo aina ya chanjo bali ni gharama kubwa za chanjo hiyo. Na yawezekana, ingetolewa kama msaada kama zile za Unicef kwa chanjo za watoto tusingesikia haya yote.
Kama ndiyo hivyo yaani kuogopa gharama,viongozi wetu wanapaswa kufahamu kuwa kipaumbele cha serikali yeyote ile kwa watu wake ni kulinda maisha yao! Kenya na baadhi ya nchi zinazotuzunguka wameshashaagiza au kuweka mipango ya kupata chanjo hiyo. Ni rai yangu kuwa,,nasi tuwe kwenye mstari wa pamoja na jirani zetu.
Na kama ipo agenda inayolenga kufafanua madhara yake,tucampaign kwa pamoja kuikataa. Mwl. Nyerere alipogundua IMF inayumbisha nchi maskini, alihamasisha na kuungana na nchi nyingi kuyakataa masharti ya IMF wakiwemo Nigeria ya kina Sani Abacha w, Zambia ya Mzee Kaunda
nk.
Hiyo approach ilifanya Wenye IMF kutikisika na kuanza kufuta baadhi ya misaada. Naamini hata viongozi wetu wa nchi hizi changa wanapaswa kutumia technique hiyo ya umoja pale wanapogundua kuna genuine reason ya kukataa jambo,na hapohapo wawe na mbadala. Covid-19 au 21 ni janga zito na siyo la kuisha leo wala kesho.
Siyo jambo la afya sana viongozi wa nchi zetu changa kuanza matamko ya kukinzana na juhudi yeyote ya awali ya kukabili tatizo la covid kama chanjo kwa staili ya majukwaa mepesimepesi.
Fuatilia magazeti na vyombo vya habari vya hao wanaoitwa mabeberu nao hawaitaki chanjo. Wameanza kuipinga kwa nguvu zote wakiamini ni mpango wa nguvu wa kupunguza wingi wa watu duniani.si Afrika pekeeWazungu kwani tumewakosea nini hatu watufute kwenye sura ya dunia?
Walitupeleka utumwani, tukatumika kwa utii mkubwa, walitutawala na kuitumikisha huku wakipora utajiri wetu hatukupinga.
Sasa shida ni juu ya Nini Tena?
Cerelac (food stuff) , yellow fever, measles, ARVs, condoms etc
Lakini wanaoipinga hii chanjo ya COVID sio kwamba hawaitaki kabisa ila wanahoji uharaka wake. Testing & approval processes zimekuwa fasttracked kwa speed ya ajabu na hakuna mwenye uhakika kama hakuna potential long term effects. Harafu zile note kama โnot to be used in USA & Canadaโ zimetisha sana.
Hao wazungu hawasemi kama ukishachanjwa tu then huna haja ya kuvaa barakoa tena na kwamba hutopata tena COVID19
View attachment 1689641
Elimu elimu elimu.... Lazima tuwekeze hapaHivi sisi waafrica mpaka lini tutaendelea kupata chanjo za wazungu?? Kwani hatuwezi kutengeneza chanjo zetu?
Kuna jambo la kumuuliza Mungu kwa nini ufahamu wetu umefungwa?
Nyakati zinabadilika, mitazamo hubadilika, malengo hubadilika..... Kimsingi watakuwa kuchukua tahadhari kubwa sana kwa sasa. Ongezeko kubwa na la kasi la watu duniani ni tishio kwa viranja wakuu wa dunia. Tusisahau kuna watu wanaiendesha dunia kwa RIMOTI hivyo wanaweza amua chochote....wataumia wao na sisi weusi pia.... Km ndivyo ni mpango wa kidunia hakuna aliye salama ila weusi usalama wetu ni mdogo zaidi ya wao
Umenichekesha. Nimekumbuka kikombe cha Babu wa Loliondo.Kama unataka kujua unafiki wa viongozi wa serikali hii, hiyo chanjo ije uone kama hawajaenda kuchanjwa usiku.
Kigezo cha elimu mimi nakataa sio kweli. Tuna wasomi wengi Africa mpaka ma professor tunaoElimu elimu elimu.... Lazima tuwekeze hapa
Kweli ni Wazungu waliopeleka watu utumwani? Si wafalme na machifu wenyeji waliokamata watu na kuwapeleka utumwani? Halafu kuwauza kwa Waarabu na Wazungu waliowanunua wakiwa watumwa tayari? Na hao kuwapeleka mbali hadi jehenam ya Marekani? (Nikumbushe: walioanza kupinga utumwa walikuwa watu wa wapi??)Wazungu kwani tumewakosea nini hatu watufute kwenye sura ya dunia?
Walitupeleka utumwani, tukatumika kwa utii mkubwa, walitutawala na kuitumikisha huku wakipora utajiri wetu hatukupinga.
Sasa shida ni juu ya Nini Tena?