Tetesi: Kama hili ni kweli, basi nakubaliana na Lissu kuhusu Dkt. Slaa

Makuwadi ya warabu koko yanatetea mapumbavu menzao ya ccm kwa hongo za warabu sisi wazalendo wa nchi hii tunawambia kwamba mamayenu anapaswa kurudisha pesa za hongo kwa mabwana zenu Dubai kabla ya 2025 vinginevyo kila tundu la mwili wake atazitolea.
Una mkwara kwenye keyboard
 
Slaa alishiriki mchakato wote wa kumleta Lowasa na kuwa mgombea,ila alibadilishwa mawazo na mchumba wake Josephine chini ya uangalizi wa TISS. Gwajima aliwahi kueleza hili kwa kirefu zaidi.
Jamaa aliiacha Cdm kwenye wakati mgumu mno, aliumiza wengi sana kwa hatua ile bado akageuka kuwatupia mawe walipokumbana na mkono wa chuma kutoka Ccm na vyombo vya dola.

Anyway yameshapita ila huyo Mzee ni wa kumuangalia kwa tahadhari mno, hachelewi kuwauza tena.

JokaKuu zitto junior Nguruvi3
 
Pole sana dokta. Zile kauli zako ulizotoa baada ya kuikimbia Chadema ndo imekuponza.

Nenda nccr mageuzi au tlp mkuu.
 
Ni vizuri aruhusiwe kurudi chadema lakini asipewe wadhifa wala cheo chochote. Apewe nafasi ya kugombea ubunge (si urais) ili tupate wasemaji wazuri bungeni!!
Yeye shabaha yake kuu ni kugombea uraisi na kurudishiwa cheo cha katibu mkuu basi.
 
Huu upumbavu ulioleta hapa jukwaani ni mafala wenzako ndio watakupongeza

Slaa ninaemjua mimi hawezi fanya huo ujinga,kawa balozi bila kadi ya CCM,haiitaji chadema tena,yeye ni mwanaharakati huru kabisa
 
Hivi wewe Mr Dudumizi na Lucas mwashambwa ni mtu mmoja au ndugu!!???
 
Milioni mia tano nyingi hivi, yeye apeleke milioni tano na box la konyagi tu, mapema tu anapewa na ujumbe kamati kuu taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…