Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

Maada? Hapo hamu ya kusoma imeishia hapa
 
Kama hufanyi au hujaanza biashara huwezi amini ushirikina upo tena kiwango cha juu.
Ulitapeliwa ili utoe promo ya bure kuhusu uchawi. Njia kuu ni kuzambaza hofu, ni kama stori za popobawa hofu tu. Imani chanzo chake ni kusikia, muhimu unasikia nini? Kila mtu ana chaguzi binafsi kwenye hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…