Unauza Machumachuma hapo kwa kereketwa nini 😁Sawa, mm naishi hapa daraja mbili, hapo njiro nakuja kwa miguu tuu, napitia njia ya lemara.
Njiro maeneo gn

Dah ujue ndo nimetoka hapo muda sio mrefu 😂Unauza Machumachuma hapo kwa kereketwa nini 😁
Jana nilikua mtaa huo... Hivi kuna yule mzee mwenye sura ya culture muimba reggae anaelala na kuamkia pembeni ya ukuta pale ng'ambo ya pili kwenye kiwanda cha mabati ni mtanzania kweli?Dah ujue ndo nimetoka hapo muda sio mrefu 😂
niko KWA MSOLA babySawa, mm naishi hapa daraja mbili, hapo njiro nakuja kwa miguu tuu, napitia njia ya lemara.
Njiro maeneo gn
Eh sijawahi kumzingatia aiseeJana nilikua mtaa huo... Hivi kuna yule mzee mwenye sura ya culture muimba reggae anaelala na kuamkia pembeni ya ukuta pale ng'ambo ya pili kwenye kiwanda cha mabati ni mtanzania kweli?
Nina zaidi ya miaka 5 namkuta akiwa hapohapo hadi amefanana na ule udongo
Baby gari moja na bodaboda tuu ushafika daraja beee, njoo bc babeniko KWA MSOLA baby
nakuja mme wanguBaby gari moja na bodaboda tuu ushafika daraja beee, njoo bc babe
Nakusubir kwa hamu babenakuja mme wangu
Yule dingi inyeshe mvua au liwake jua hasogei hata nusu mita 🤣Eh sijawahi kumzingatia aisee
Labla ndo kigagula wa kampuni kuleta wateja 😎Yule dingi inyeshe mvua au liwake jua hasogei hata nusu mita 🤣
We ni mwongo ingekuwa hivyo Wacongo wasingeendelea kufanya biashara mpk leo hp nchiniHabari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa .
TWENDEE KWENYE MAADA.
Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana kwenye biashara nikikuwa siamini sana maana ukitoa shule sana sana chuo huamini ushirikiana kwenye biashara ila unaamini kwenye mahesabu tuna na kusema uta chomoka na ilikuwa hivyo kwa muda mrefu tangu nianze hiyo biashara siamini ushirikiana.
Yule mteja alikuja kanunua mzigo vizuri kwangu na kuahidi nitapewa hela baada ya siku nne kunipa hela yangu yote alikuwa ni MCONGO,nikafurahi kweli maana nimepata mteja amechukua mzigo wote kwa haraka kama mnavyo wajuwa wacongo anachukua mzigo mkubwa,Akachukua na kwa wengine mzigo hivyo hivyo kuwa atatulipa baada ya hizo siku,hakuna aliye pata shaka kwa hilo maana imezoweleka hapa wanachukua mzigo na kutoa hela zote akishamaliza kabisa kukusanya mzigo anaohitaji.
Baada ya siku nne kweli huyo mteja alikuja kulipa pesa kwa kila mtu ambae alikuwa anamdai hela ya mzigo mida ya jioni kabsa wanafunga soko ,maana alidai gari yake ya mzigo inaanza safari muda huo kuelekea mipakani kwenda huko congo.,.
Ile hela sasa niliyo pewa ule muda iligeuka kilio kwangu, nikaweka kwenye ule mfuko wa plastic ambayo ishakatazwa na serikali isitumike kwa kipindi hicho bado inatumika na kwenda nyumbani nitunze ili kesho niamke niende kisiwani kufuata mzigo mwingine maana ulikuwa umeisha ofsini.
Asubuhi sasa naamka niende niwahi BOTI kwa huku kanda ya ziwa imezoeleka kama usafiri wa FERRY kuelekea visiwani nikusanye mzigo ,nikachukua ule mfuko ambao nilitunzia hela zangu nikafungua ili nitoe hela nizipange na nyingine nitoe kwa matumizi ya nyumbani .
Sikuamini nichokiona ndani pale ni karatasi tupu mfumo gazeti ndio zimejaa humo tupu laaaa nilidhani naota lakini kumbe ni live bila chenga nilivurugwa tumbo la kuharisha huku jasho inakaribia nayo kwa kasi akili ikiwa inawaza nipige yowe.
Haija kaa sawa simu ikawa inapigwa na moja ya mfanya biashara mwenzagu tulie muuzia yule mteja mzigo anatoa sauti kama ya mtu anaetaka kutoa kilio ,mimi mwenyewe sauti za kilio kama chake ananipa habari kama niliyo ikuta mimi kwenye hela.
Kumbe janga kila aliye chukua hela ya mtu yule na siku ile asubuhi ilibadirika.
Fuatilia ile gari bana wee maana tuliamini haijavuka boda kwa muda ule gari haikupatikana popote pale wala mipakani sijui nayo ilikuwa gari ya mchongo laaaa.
Kama hufanyi au hujaanza biashara huwezi amini ushirikina upo tena kiwango cha juu.
POLE KWA KUSOMA UZI MREFU LAKINI TUNAPEANA MACHANGAMOTO KWENYE KAZI ZETU.
KAMA UMEWAHI PATA CHANGAMOTO YOYOTE INAYOHUSIANA USHIRIKINA KWENYE KAZI ZAKO TUNAOMBA KWENYE COMMENTS HAPO CHINI.
KARIBU MWANZA DAGAA ZIPO KAZI INAENDELEA KAMA KAWAIDA TUSHASAHAU MACHUNGU NI MIAKA MINGI.
0657886964
Kwa nini wasiendelee mkuu???serikalini hakuna uchawi kumbuka ,ukienda kushtaki unakuwa unapoteza muda tu.We ni mwongo ingekuwa hivyo Wacongo wasingeendelea kufanya biashara mpk leo hp nchini
Ndoo ya lita 20 ni kati ya 90,000 mpaka 100,000 Watu8Dagaa waliokaangwa ndoo ndogo ya lita 20 mnauzaje?
Lipia TangazoHabari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa .
TWENDEE KWENYE MAADA.
Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana kwenye biashara nikikuwa siamini sana maana ukitoa shule sana sana chuo huamini ushirikiana kwenye biashara ila unaamini kwenye mahesabu tuna na kusema uta chomoka na ilikuwa hivyo kwa muda mrefu tangu nianze hiyo biashara siamini ushirikiana.
Yule mteja alikuja kanunua mzigo vizuri kwangu na kuahidi nitapewa hela baada ya siku nne kunipa hela yangu yote alikuwa ni MCONGO,nikafurahi kweli maana nimepata mteja amechukua mzigo wote kwa haraka kama mnavyo wajuwa wacongo anachukua mzigo mkubwa,Akachukua na kwa wengine mzigo hivyo hivyo kuwa atatulipa baada ya hizo siku,hakuna aliye pata shaka kwa hilo maana imezoweleka hapa wanachukua mzigo na kutoa hela zote akishamaliza kabisa kukusanya mzigo anaohitaji.
Baada ya siku nne kweli huyo mteja alikuja kulipa pesa kwa kila mtu ambae alikuwa anamdai hela ya mzigo mida ya jioni kabsa wanafunga soko ,maana alidai gari yake ya mzigo inaanza safari muda huo kuelekea mipakani kwenda huko congo.,.
Ile hela sasa niliyo pewa ule muda iligeuka kilio kwangu, nikaweka kwenye ule mfuko wa plastic ambayo ishakatazwa na serikali isitumike kwa kipindi hicho bado inatumika na kwenda nyumbani nitunze ili kesho niamke niende kisiwani kufuata mzigo mwingine maana ulikuwa umeisha ofsini.
Asubuhi sasa naamka niende niwahi BOTI kwa huku kanda ya ziwa imezoeleka kama usafiri wa FERRY kuelekea visiwani nikusanye mzigo ,nikachukua ule mfuko ambao nilitunzia hela zangu nikafungua ili nitoe hela nizipange na nyingine nitoe kwa matumizi ya nyumbani .
Sikuamini nichokiona ndani pale ni karatasi tupu mfumo gazeti ndio zimejaa humo tupu laaaa nilidhani naota lakini kumbe ni live bila chenga nilivurugwa tumbo la kuharisha huku jasho inakaribia nayo kwa kasi akili ikiwa inawaza nipige yowe.
Haija kaa sawa simu ikawa inapigwa na moja ya mfanya biashara mwenzagu tulie muuzia yule mteja mzigo anatoa sauti kama ya mtu anaetaka kutoa kilio ,mimi mwenyewe sauti za kilio kama chake ananipa habari kama niliyo ikuta mimi kwenye hela.
Kumbe janga kila aliye chukua hela ya mtu yule na siku ile asubuhi ilibadirika.
Fuatilia ile gari bana wee maana tuliamini haijavuka boda kwa muda ule gari haikupatikana popote pale wala mipakani sijui nayo ilikuwa gari ya mchongo laaaa.
Kama hufanyi au hujaanza biashara huwezi amini ushirikina upo tena kiwango cha juu.
POLE KWA KUSOMA UZI MREFU LAKINI TUNAPEANA MACHANGAMOTO KWENYE KAZI ZETU.
KAMA UMEWAHI PATA CHANGAMOTO YOYOTE INAYOHUSIANA USHIRIKINA KWENYE KAZI ZAKO TUNAOMBA KWENYE COMMENTS HAPO CHINI.
KARIBU MWANZA DAGAA ZIPO KAZI INAENDELEA KAMA KAWAIDA TUSHASAHAU MACHUNGU NI MIAKA MINGI.
0657886964
Serikali ya wapi mkuu, kama ni tanzania kuna mpaka sheria ya UchawiKwa nini wasiendelee mkuu???serikalini hakuna uchawi kumbuka ,ukienda kushtaki unakuwa unapoteza muda tu.
Lazima waendelee maana sio wote wenye tabia ya hivo
Sasa kama hivyo ndivyo tufanyeje,tusifanye biashara!?,tuuze kwa kubagua?,,huyu ni muuzie na nisimuuzie!!?,,je tutafika??,mambo mengine huwa ni mind set yako tu,kuna jamaa aliwahi niambia eti nikiamka asubuhi nikakutana na fulani au akanisalimia baasi siku hiyo nisifungue biashara yangu ati kwa kuwa tayari imetiwa doa ni mkosi,ohoo hela yote itahaama,this is rubbish!!!Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa .
TWENDEE KWENYE MAADA.
Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana kwenye biashara nikikuwa siamini sana maana ukitoa shule sana sana chuo huamini ushirikiana kwenye biashara ila unaamini kwenye mahesabu tuna na kusema uta chomoka na ilikuwa hivyo kwa muda mrefu tangu nianze hiyo biashara siamini ushirikiana.
Yule mteja alikuja kanunua mzigo vizuri kwangu na kuahidi nitapewa hela baada ya siku nne kunipa hela yangu yote alikuwa ni MCONGO,nikafurahi kweli maana nimepata mteja amechukua mzigo wote kwa haraka kama mnavyo wajuwa wacongo anachukua mzigo mkubwa,Akachukua na kwa wengine mzigo hivyo hivyo kuwa atatulipa baada ya hizo siku,hakuna aliye pata shaka kwa hilo maana imezoweleka hapa wanachukua mzigo na kutoa hela zote akishamaliza kabisa kukusanya mzigo anaohitaji.
Baada ya siku nne kweli huyo mteja alikuja kulipa pesa kwa kila mtu ambae alikuwa anamdai hela ya mzigo mida ya jioni kabsa wanafunga soko ,maana alidai gari yake ya mzigo inaanza safari muda huo kuelekea mipakani kwenda huko congo.,.
Ile hela sasa niliyo pewa ule muda iligeuka kilio kwangu, nikaweka kwenye ule mfuko wa plastic ambayo ishakatazwa na serikali isitumike kwa kipindi hicho bado inatumika na kwenda nyumbani nitunze ili kesho niamke niende kisiwani kufuata mzigo mwingine maana ulikuwa umeisha ofsini.
Asubuhi sasa naamka niende niwahi BOTI kwa huku kanda ya ziwa imezoeleka kama usafiri wa FERRY kuelekea visiwani nikusanye mzigo ,nikachukua ule mfuko ambao nilitunzia hela zangu nikafungua ili nitoe hela nizipange na nyingine nitoe kwa matumizi ya nyumbani .
Sikuamini nichokiona ndani pale ni karatasi tupu mfumo gazeti ndio zimejaa humo tupu laaaa nilidhani naota lakini kumbe ni live bila chenga nilivurugwa tumbo la kuharisha huku jasho inakaribia nayo kwa kasi akili ikiwa inawaza nipige yowe.
Haija kaa sawa simu ikawa inapigwa na moja ya mfanya biashara mwenzagu tulie muuzia yule mteja mzigo anatoa sauti kama ya mtu anaetaka kutoa kilio ,mimi mwenyewe sauti za kilio kama chake ananipa habari kama niliyo ikuta mimi kwenye hela.
Kumbe janga kila aliye chukua hela ya mtu yule na siku ile asubuhi ilibadirika.
Fuatilia ile gari bana wee maana tuliamini haijavuka boda kwa muda ule gari haikupatikana popote pale wala mipakani sijui nayo ilikuwa gari ya mchongo laaaa.
Kama hufanyi au hujaanza biashara huwezi amini ushirikina upo tena kiwango cha juu.
POLE KWA KUSOMA UZI MREFU LAKINI TUNAPEANA MACHANGAMOTO KWENYE KAZI ZETU.
KAMA UMEWAHI PATA CHANGAMOTO YOYOTE INAYOHUSIANA USHIRIKINA KWENYE KAZI ZAKO TUNAOMBA KWENYE COMMENTS HAPO CHINI.
KARIBU MWANZA DAGAA ZIPO KAZI INAENDELEA KAMA KAWAIDA TUSHASAHAU MACHUNGU NI MIAKA MINGI.
0657886964
Mnauza migebuka shilingi ngapi?Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa .

Mtu yuko Mwanza, migebuka anaitoa wapi!?Mnauza migebuka shilingi ngapi?
Na anatuuzia daga zimepiga na kuvunwa kwa uchawi [emoji23] daah sema bana MUNGU tu huwa anatulinda na hawa watu hasa wafanya biashara hizi za vyakula, obviously wanatulisha mambo mengi sana tusiyoyajua wateja wao ila ndo ivo Mwenyezi anatulinda..Kwahiyo boss sasa hivi unatumia uchawi?
Mbona bei? Packets za bukubuku zinatoka ngapi?Ndoo ya lita 20 ni kati ya 90,000 mpaka 100,000 Watu8