Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

Dah ujue ndo nimetoka hapo muda sio mrefu πŸ˜‚
Jana nilikua mtaa huo... Hivi kuna yule mzee mwenye sura ya culture muimba reggae anaelala na kuamkia pembeni ya ukuta pale ng'ambo ya pili kwenye kiwanda cha mabati ni mtanzania kweli?

Nina zaidi ya miaka 5 namkuta akiwa hapohapo hadi amefanana na ule udongo
 
Eh sijawahi kumzingatia aisee
 
We ni mwongo ingekuwa hivyo Wacongo wasingeendelea kufanya biashara mpk leo hp nchini
 
We ni mwongo ingekuwa hivyo Wacongo wasingeendelea kufanya biashara mpk leo hp nchini
Kwa nini wasiendelee mkuu???serikalini hakuna uchawi kumbuka ,ukienda kushtaki unakuwa unapoteza muda tu.
Lazima waendelee maana sio wote wenye tabia ya hivo
 
L
Lipia Tangazo
 
Kwa nini wasiendelee mkuu???serikalini hakuna uchawi kumbuka ,ukienda kushtaki unakuwa unapoteza muda tu.
Lazima waendelee maana sio wote wenye tabia ya hivo
Serikali ya wapi mkuu, kama ni tanzania kuna mpaka sheria ya Uchawi
 
Sasa kama hivyo ndivyo tufanyeje,tusifanye biashara!?,tuuze kwa kubagua?,,huyu ni muuzie na nisimuuzie!!?,,je tutafika??,mambo mengine huwa ni mind set yako tu,kuna jamaa aliwahi niambia eti nikiamka asubuhi nikakutana na fulani au akanisalimia baasi siku hiyo nisifungue biashara yangu ati kwa kuwa tayari imetiwa doa ni mkosi,ohoo hela yote itahaama,this is rubbish!!!
 
Mnauza migebuka shilingi ngapi?
 
Kwahiyo boss sasa hivi unatumia uchawi?
Na anatuuzia daga zimepiga na kuvunwa kwa uchawi [emoji23] daah sema bana MUNGU tu huwa anatulinda na hawa watu hasa wafanya biashara hizi za vyakula, obviously wanatulisha mambo mengi sana tusiyoyajua wateja wao ila ndo ivo Mwenyezi anatulinda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…