Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,445
- 7,987
Pole sana, Uchawi hasa kwenye biashara upo mwingi sana. Umefanyaje ili yasikutokee tena? je umejiwekea ulinzi au umeingia kundini?Kwa nini wasiendelee mkuu???serikalini hakuna uchawi kumbuka ,ukienda kushtaki unakuwa unapoteza muda tu.
Lazima waendelee maana sio wote wenye tabia ya hivo
Idadi ya pact inategemea na ufungaji wako. Hilo lipo juu yako kufanya utafiti.Mbona bei? Packets za bukubuku zinatoka ngapi?
Hahahhahaa eti umeingia kundiniPole sana, Uchawi hasa kwenye biashara upo mwingi sana. Umefanyaje ili yasikutokee tena? je umejiwekea ulinzi au umeingia kundini?
Apana sio,mbaya nikiweka Tangazo kidogo mkuu ata wewe unaweza changia ofsi kwa hiyo namba.Mada inazungumzia uchawi katika biashara,mwishoni unatoa tangazo la biashara yako na namba za simu,tutaamini vipi unazungumzia uchawi na si biashara yako ya dagaa,je kama ulikuwa unatumia trick kuwafanya wasomaji wawe wengi kuliona tangazo lako? Kikubwa ulipie tangazo.
Ngoja uje kutana na watu wenye dawa kali utarudi kutwambia,,sikia tu uchawiSasa kama hivyo ndivyo tufanyeje,tusifanye biashara!?,tuuze kwa kubagua?,,huyu ni muuzie na nisimuuzie!!?,,je tutafika??,mambo mengine huwa ni mind set yako tu,kuna jamaa aliwahi niambia eti nikiamka asubuhi nikakutana na fulani au akanisalimia baasi siku hiyo nisifungue biashara yangu ati kwa kuwa tayari imetiwa doa ni mkosi,ohoo hela yote itahaama,this is rubbish!!!
jf ni kwa ajili ya great thinkers only. Ungeanzisha nyuzi mbili. Ya kwanza uchawi ktk biashara na ya pili ya kuhusu tangazo lako la biashara,lakini ulipounganisha mambo mawili katika uzi mmoja inaonesha namna gani ulivyo zuzu japokuwa una degree.Apana sio,mbaya nikiweka Tangazo kidogo mkuu ata wewe unaweza changia ofsi kwa hiyo namba.
Je ni dhambi ???
Boss una uhakika na unachoandika kuwa dagaa zinavuliwa hivo???Na anatuuzia daga zimepiga na kuvunwa kwa uchawi [emoji23] daah sema bana MUNGU tu huwa anatulinda na hawa watu hasa wafanya biashara hizi za vyakula, obviously wanatulisha mambo mengi sana tusiyoyajua wateja wao ila ndo ivo Mwenyezi anatulinda..
Huku SANGARA NA SATOMtu yuko Mwanza, migebuka anaitoa wapi!?
Hahahahha,jf ni kwa ajili ya great thinkers only. Ungeanzisha nyuzi mbili. Ya kwanza uchawi ktk biashara na ya pili ya kuhusu tangazo lako la biashara,lakini ulipounganisha mambo mawili katika uzi mmoja inaonesha namna gani ulivyo zuzu japokuwa una degree.
Mi sijasema kuwa uchawi haupo,najua upo lkn sipendi nitishike nao,kwakuwa naamini mungu pekee ndo wakuogopwa,, hivyo mfano mtu aje aniambie kwa kunitishia kuwa nitakuroga!!huwa sitishiki,na wenye kulogwa waliowengi ni wale wanaotishika na kuweka imani zao huko badala ya mungu.Ngoja uje kutana na watu wenye dawa kali utarudi kutwambia,,sikia tu uchawi