Hayo mambo ya majimbo kwa Afrika bado sana. Tizama, Ethiopia, Nigeria na hata hawa majirani zetu wanafiki wanaowasaidia upinzani kutaka kuleta fujo kote wote hiyo siasa imeonesha madhaifu makubwa sana.
Angalia na huko China Jimbo la Hong Kong linawatesa sana Serikali kuu ya China. Hasa ukizingatia kuwa USA, UK nao wanatia mkono wao mweusi kuendeleza fujo huko.
Tuache HIZI mbwembwe uchwara za mtembezi , mtembeza bakuli na vibaraka wenzake ; Tanzania Tudumishe Umoja wetu na Utaifa wetu.
Rais wa Tanzanaia ni Mhe Dr. Magufuli
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Rais Dr. Magufuli