infinix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 2,096
- 2,150
Unavyoelewa wewe,Ethiopia ilitawaliwa na nani na walipata uhuru lini?Mifano ya Marekani iliyopata uhuru 1776?
Si Haki kutoa kifano ya Mataifa makongwe kama haya
GM!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavyoelewa wewe,Ethiopia ilitawaliwa na nani na walipata uhuru lini?Mifano ya Marekani iliyopata uhuru 1776?
Si Haki kutoa kifano ya Mataifa makongwe kama haya
GM!
Following the Treaty on the Creation of the USSR of 1922, the Russian Soviet Socialist Federative Republic, Ukrainian Socialist Soviet Republic, the Byelorussian Socialist Soviet Republic and the Transcaucasian Socialist Federative Soviet Republic established the Union of Soviet Socialist Republics (USSR).Umetoa mfano mmoja lakini mfano mwingine mkubwa zaidi ni USSR ya Michael Gorbachev ilivyosambaratishwa na umajimbo mwisho wa siku mzee Gorbachev akabaki hana nchi ya kutawala maana hata Russia lilikuwa jimbo linalotawaliwa na Boriss Yeltsin na yeye akabaki na jimbo lake kama nchi
Hizo porojo zenu, endeleeni kujifurahishaWatanzania wapi wa wapi hao walimjibu Lisu kwa kura zipi? Maana hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kawachagua CCM kwenye uchaguzi huu haramu wa kishetani
Inaelekea nyie mnaishi JF, hamuishi Tanzania.NI kweli walimjibu....kwa kumpa kura za KUTOSHA....mkaamua kuzikwapua...ila MUNGU HASHINDWI....
Labda kichaa tu atakayeipigia kura ccm.Inaelekea nyie mnaishi JF, hamuishi Tanzania.
Mtaani kote ngoma ni JPM tu, wasanii wa upinzani tupa kule. Kama wabunge, madiwani na viongozi wengi tu wa ndani ya CHADEMA walishajitoa wenyewe baada ya kuona usanii wa Mbowe, unashangaa nini watu wengine wakiisusa CHADEMA kwa kutoipa kura?
Kwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya Taifa Addis Ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la Tigray. Jimbo lina Rais lina Bunge lina jeshi lake hayo ndio Lissu anataka kutuletea.
Wakati Ethiopia wanatamani wangekua na umoja kama sisi Lissu anatamani tuwe sio kitu kimoja kama Ethiopia. Ethiopia wana majimbo kutokana na kuendekeza tofauti zao za kikabila sio kwa mapenzi ya utaifa wao.
Umajimbo ni rahisi kusambaratisha Taifa na maadui kuliko kuwa Serikali moja imara yenye mikoa na wilaya zilizo na uwakilishi imara kwenye Serikali kuu. Hakuna kitu hatari kwa umoja wa kitaifa kama kuwa na majeshi ya kivita yanayomilikiwa na mamlaka tofauti kwenye nchi moja.
Ungeachana na mambo ya Lissu, nakuambia hii miaka mitano itakatika na ulambi teuziKwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya Taifa Addis Ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la Tigray. Jimbo lina Rais lina Bunge lina jeshi lake hayo ndio Lissu anataka kutuletea.
Wakati Ethiopia wanatamani wangekua na umoja kama sisi Lissu anatamani tuwe sio kitu kimoja kama Ethiopia. Ethiopia wana majimbo kutokana na kuendekeza tofauti zao za kikabila sio kwa mapenzi ya utaifa wao.
Umajimbo ni rahisi kusambaratisha Taifa na maadui kuliko kuwa Serikali moja imara yenye mikoa na wilaya zilizo na uwakilishi imara kwenye Serikali kuu. Hakuna kitu hatari kwa umoja wa kitaifa kama kuwa na majeshi ya kivita yanayomilikiwa na mamlaka tofauti kwenye nchi moja.
Binti ungekua umeolewa ningekushauri muda unaoupoteza kuandika pumba hapa JF ungeutumia kumridhisha mmeo, ila ni bahati mbaya sana bado unadanga tu na kuchukua waume za watu.Kwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya Taifa Addis Ababa kuingia vitani na Serikali ya jimbo lake la Tigray. Jimbo lina Rais lina Bunge lina jeshi lake hayo ndio Lissu anataka kutuletea.
Wakati Ethiopia wanatamani wangekua na umoja kama sisi Lissu anatamani tuwe sio kitu kimoja kama Ethiopia. Ethiopia wana majimbo kutokana na kuendekeza tofauti zao za kikabila sio kwa mapenzi ya utaifa wao.
Umajimbo ni rahisi kusambaratisha Taifa na maadui kuliko kuwa Serikali moja imara yenye mikoa na wilaya zilizo na uwakilishi imara kwenye Serikali kuu. Hakuna kitu hatari kwa umoja wa kitaifa kama kuwa na majeshi ya kivita yanayomilikiwa na mamlaka tofauti kwenye nchi moja.
.IMEVUJAAA!!!!
Ujerumani na Marekani zapanga kuhujumu Tanzania
Taarifa kutoka ndani ya Balozi za nchi hizi mbili zimethibitisha kuwa kuna mipango inasukwa ya kuihujumu Tanzania. Mipango hiyo inaandaliwa na Marekani na Ujerumani kupitia Balozi zao nchini.
Taarifa zilizopo ni kwamba Dkt. DONALD J. WRIGHT (US Ambassador) na Bi. REGINA HESS (Germany Ambassador) walianza kutekeleza mipango hiyo baada kujionyesha wazi kwa kumsindikiza Airport aliyeshindwa Uchaguzi Mkuu Tanzania TUNDU ANTIPHAS LISSU
Maagizo yaliyotolewa kwa Mabalozi wa Nchi hizi mbili ni kwamba wahakikishe wanawasaidia Wagombea wote wa Upinzani ambao walishindwa Uchaguzi hususani wa CHADEMA ili waende kuishi Ujerumani pamoja na Familia zao.
Lengo ni kuwapa Mafunzo Maalum ya namna ya kuvuruga nchi ambayo yatahusishwa na Political Violence Vurugu za Kisiasa yatakayotolewa na Majasusi wa Marekani na Ujerumani.
Viongozi hao wa Upinzani wametakiwa kuzichukua na Familia zao kwani watakuwa wanalipwa kila mwezi USD 5000 sawa na (Tshs. 11,595,000/=) na kupewa makazi, ndio maana tumeona tayari LISSU ameondoka na familia yake na wengine wanaofuata ni LAZARO NYARANDU, ZITTO KABWE, GODBLESS LEMA.
Watakaobaki nchini wametakiwa kuendelea kukijenga Chama ili watakaomaliza mafunzo wakirudi waanze mikakati ya kuivuruga Tanzania kwa kuanzisha Political Violence (Vurugu za Kisiasa) katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Na ndio maana hatumsikii JOHN MNYIKA, JOHN HECHE, HALIMA MDEE, ESTER BULAYA na wengine wakilalamikia kutishiwa maisha kwa kuwa wao wametakiwa kubaki nchini ili kuendelea kulinda uhai wa Chama na wataendelea kulipwa kama wenzao watakaokuwa wanaishi Ujerumani.
Watanzania tujiandae kwa jaribio la Pili maana jaribio la kwanza la kutaka kutuvuruga kwenye Uchaguzi huu wameshindwa kutokana na Umoja wetu, na sasa wanekwenda kuongeza ujuzi wa jinsi ya kutugawa ili waendeshe vurugu na kufanikiwa azma ya MABEBERU kutaka nchi isitawalike ili wao wavune mali kirahisi.
UMOJA NDIO SILAHA YETU!
Soma historia utaona jinsi vita imetumika kuweka hayo majimbo pamoja tangu mwaka 1776. Na wakati wanatofautiana hapakua na uingiliaji wa nje wenye nguvu kama kwa nchi za kiafrika zinavyoingiliwa na wakoloni wao wa zamani na wanyonyaji wengine dumiani.Hivi nyie watu hizi propaganda za kipuuzi mnamdanganya nazo nani siku hizi?
Mbona hutolei mfano serikali za majimbo za Marekani?
Ethiopia vita zao ni za enzi, nyie endeleeni kumdanganya Awafu mpate ugali.
Ni kweli, Mbowe kawa nyumbu kabisa wala hajitambui......kimyaaaaa utadhani yuko chooni anakunya huku akisoma gazeti.Mbona mwenyekiti wetu ndo kakata fuse zote kwa ubongo.
Mkuu mbona unaniwekea maneno kinywani mwangu? Nimesema mwenyekiti wangu unakimbilia kumtaja Mbowe. Si muwaache watulie, tushawapora bado tunawafuata. Mimi ni kada mzoefu wa CCM, alafu siasa haifanyiki hivyo. Kama unaona hii ni baiskeli bado unang'ang;ania kuwa ni pikipiki, basi kuna shida mahalaNi kweli, Mbowe kawa nyumbu kabisa wala hajitambui......kimyaaaaa utadhani yuko chooni anakunya huku akisoma gazeti.
Sahihisho: Namibia na Botswana hakuna serikali za majimbo.Mbona kwa Akina Nkurunziza hakuna majimbo na vita vya wa Hutu na wa Tutsi kila siku?
Namibia, Botswana, South Africa, Kenya etc kuna serikali za majimbo lakini hakuna shida?
Huu uzi wapelekee Darasa la saba ndio watakuelewa
Huelewi chochote kuhusu Kenya.Post utopolo ya UVCCM hii, Congo, Somalia kuna majimbo ? Ambapo wanapigana vita.
Ebu angalia USA, KENYA penye majimbo kuna vita ?, migogoro ndani ya nchi sio sbb ya majimbo ni uongozi wa raisi dhaifu
Wala sitafuti uteuzi. Shida nyie mnaotafuta mnafikiri kila mtu anatafuta uteuzi. Kuna wale wanatafuta viti maalum hadi wamebakia na ukimwi. Ubinafsi ndio umetawala nyoyo zenu.Ungeachana na mambo ya Lissu, nakuambia hii miaka mitano itakatika na ulambi teuzi