Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

Mifano ya Marekani iliyopata uhuru 1776?

Si Haki kutoa kifano ya Mataifa makongwe kama haya

GM!
Kinyume chake huko ndio tuyatumie kwa kujifunzia. Yaliyo wasaidia tuangalie tuyatumieje yatusaidie hasa kuondoa 'ibada' ya rais mungu mtu.
 
Wa Ethiopia wanabaguana kitambo. Kuna watu wanaitwa Oromo wanafanana na sisi wana shida sana hawapendani na wale wengine.
 
Hicho ndio.nakichukia mimi!!

Huu ni ubinafsi.
Huyu anaeishi sehem isiokua na maligafi ataishije?

Halafu mtu wa ainayako utajiita MZALENDO?
Majimbo yote yatachangia kwenye serikali kuu. Majimbo yataongeza ubunifu kwenye kilimo, utalii na mengine. Majimbo yatasimamia matumizi bora ya rasilimali kwao na kwenye serikali kuu tofauti na sasa. Huo ndio uzalendo wa kweli na sio wa kujipendekeza kwa miungu watu.
 
Ethiopia Hakuna vita ya Majimbo,ni vita ya makabila.Tofautisha makabila na Majimbo
 
useless kushindwa uchaguzi kwa figisu ndio usema haitaji akili kubwa? wew bado akili ndogo tuu bado uko gizani
wewe kama uko kwenye mwanga ulitaka lissu uungane nae kwenye ushoga?
 
NDIO, wasiotaka kukosolewa wanamuwinda kama panya.
Waliomlinda wakati wote wa Kampeni hadi akawa anawasifia, sasa ameshindwa wameanza kumwinda tena? Ana pesa nyingi alikuja nazo wanataka kumnyang'anya au?
Huyu mtu inasemekana hadi alikuwa anawasilana na IGP Simon Sirro, kipindi chote cha kampeni zake; hili la kuwindwa kwa nini hakufanya hivyo?
 
Miaka ile ya vita ya Waburundi ,Baba wa Taifa Mwl Nyerere alipata kusema..." nawashangaa wazungu! Kila napokwenda Ulaya wananiuliza habari za watu wa Burundi na ugomvi wao, nawaambia mie sitoki Burundi natoka Tanzania! Akija Tanzania Tonny Blair(waziri mkuu wa Uingereza miaka hiyo) siwezi kumuuliza habari za watu wa Bosnia sababu najua Blair hatoki Bosnia!" Sasa wewe unazungumzia habari za watu wa Ethiopia na Tanzania, tambua Tanzania sio Ethiopia wala Ethiopia sio Tanzania!
Huku Tanzania tumeona kujenga flyover ni neema ya kiuchumi, lakini hukohuko Ethiopia wana maflyover kibao lakini kiuchumi wako taabani!
 
Hong Kong na Macau sio majimbo ya china ni autonomy area
 
Hong Kong na Macau sio Jimbo ni autonomy area
Vijana wa ccm wanajua ukija mfumo wa majimbo zile nafas zao wanazozipigania kila uchwao za ukuu wa wilaya, ukuu wa mikoa, wakurugenzi hazitakuwepo
 
Mifano ya Marekani iliyopata uhuru 1776?

Si Haki kutoa kifano ya Mataifa makongwe kama haya

GM!
Marekani zimeungana nchi ndo maana inaitwa United States of America, naunga mkono Sera ya majimbo kwani kila kiongozi anakuwa ni wa kuchaguliwa kwenye boksi la kura na siyo ule wa kuteuliwa
 
Mkuu hayo ni Majimbo au Mikoa!
Mbona Burundi ni ndogo kuliko Mkoa wa Morogoro halafu Majimbo nane
Sasa kila Jimbo Lina Mikoa mingapi?
zanzibar mmeigawaje... zanzibar ni kama JIMBO LA ILALA lakini tuambizane kuna wabunge na majimbo mangapi.. hapo ndo utajua kuwa hujui
 
zanzibar mmeigawaje... zanzibar ni kama JIMBO LA ILALA lakini tuambizane kuna wabunge na majimbo mangapi.. hapo ndo utajua kuwa hujui
Mmmmmh mkuu Burundi hawana majimbo. Rwanda hawana majimbo, sasa wewe ukisikia mkoa ama jimbo la uchaguzi unajua ni political province, hapana kumbuka pia mkoa unaweza kuitwa jimbo kwa namna yake, lakini majimbo tunayoyazungumzia hapa ni maeneo yenye utawala wake wa ndani.
 
Lissu kashindwa kuwashawishi watanzania kuhusiana na huu upuuzi wa majimbo sasa kaamua kwenda kukaa pamoja na EU ilimradi tu ni dalali wa kimataifa.

Tanzania iliyoasisiwa na Mwalimu Nyerere pamoja na Mzee Karume haiwezi hata siku moja ikaingia katika mtego wa sera za kuisambaratisha.

Piga hesabu yale majimbo yenye rasilimali halafu yawe na sauti mbele ya serikali kuu, namna gani viongozi wakuu wa nchi watakavyofanya kazi katika mazingira magumu.
 
zanzibar mmeigawaje... zanzibar ni kama JIMBO LA ILALA lakini tuambizane kuna wabunge na majimbo mangapi.. hapo ndo utajua kuwa hujui
Zanzibar kwa maana ya unguja na pemba ipo sawa na jimbo la ilala!!!
Ama kweli utajua kama hujui
 
Zanzibar kwa maana ya unguja na pemba ipo sawa na jimbo la ilala!!!
Ama kweli utajua kama hujui
ndo mana nimesema utaua huui...
nikufundishe tu we dogo wa lumumba m'beba jezi..
idadi ya wapiga kura ILALA yote na idadi ya wapiga kura ungua hapo ndo utajua kama hujui
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…