Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

Kajifunze upya historia ya Ethiopia ndo uje ueleze athari za majimbo hapa
 
watanzania hawajui vizuri watapoteza pesa zao bure wakiwahamishia huko watanzania tutawajesabu kuwa sio raia wenzetu full stop wakija tunawahesabu wakoloni tu wa kizungu hakuna atakayewasikiliza chochote watakachosema

Mfano LISU KWA SASA kapotezwa credibility yote ya kusikilizwa na watanzania wanajua beberu tu la ubelgiji hata liseme nini wanajua kibaraka tu la wazungu hata wale waliokuwa kidogo wanamuamini kidogo imani imeyeyuka watabaki tu viongozi ambao wanavizia pesa za wazungu kupitia Lisu
 
Ungesema wana CCM badala ya kusema Watanzania
Swala la serikali ya Majimbo luna uzuri wake na ubaya wake
 
Mbona kwa Akina Nkurunziza hakuna majimbo na vita vya wa Hutu na wa Tutsi kila siku?

Namibia, Botswana, South Africa, Kenya etc kuna serikali za majimbo lakini hakuna shida?

Huu uzi wapelekee Darasa la saba ndio watakuelewa
Kenya shida ipo walishauana sana
 
Njoo wewa na hoja ya majimbo ya Marekani tulinganishe
Hivi nyie watu hizi propaganda za kipuuzi mnamdanganya nazo nani siku hizi?

Mbona hutolei mfano serikali za majimbo za Marekani?

Ethiopia vita zao ni za enzi, nyie endeleeni kumdanganya Awafu mpate ugali.
 
Nani kasaliti,labda kawasaliti Lumumba sisi tunajua anaendeleza mapambano au mlitaka abaki mumchakaze tena na bullet's
 
Kasalimisha roho yake dhidi ya wanasiasa mufilisi wa CCM. ANC south africa na frelimo mozambique viongozi wao walikimbilia Tanzania na kwingineko wasiuwawe na watawala madhalimu wa makaburu.
 
CCM mumechukua kura full stop mocking ya kazi gani, tushatulia
 
Acha kuweweseka wewe dogo

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Do not be naive look at kenya, zambia,south africa etc. The challenges of trigray have not started today or Oromo have been there for years. Learn to read history.
 
Watanzania wapi wa wapi hao walimjibu Lisu kwa kura zipi? Maana hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kawachagua CCM kwenye uchaguzi huu haramu wa kishetani
Tupo wenye akili timamu tuliomchagua magufuli, kama hamtaki, andamaneni tuone idadi yenu
 
Inaonekana hujui hata ulichokiandika, au uliandikiwa ukaja kupost.
 
Kwa maana iyo unamaanisha nchi zote zenye majimbo zina vita???? Kweli umenyimwa akili wewe.

Unajua nchi ngapi zina mfumo wa majimbo duniani??? He zote zina vita??? Ujerumani kuna vita??? Ubelgiji kuna vita??? Marekani kuna vita??? South Africa Je???

Hizi propaganda zenu mlifanikiwa kuwadanganya Babu zetu na wazazi wetu , kwa kizazi hiki cha teknolojia na chenye exposure mtaishia kuaibika tu!!
 
Mbona Kenya, Marekani, Uingereza, S.A hata China kuna majimbo mbona hatusikii wakipigana? mpuuzi tu wewe, Congo wana mikoa kama sisi mbona wanapigana kila siku?
 
Congo wana mikoa, Somalia wana mikoa na kila siku wanapigana.
 
Mwaka gani Kenya waliuana kama Burundi?
Watu wa darasa la saba wanaamini dunia nzima kuna vita isipokua Tz
Hivi hujui hata Rais Uhuru na makamu wake Ruto walishitakiwa ICC? Sababu yake unaijua? Au unaihusudu Kenya bila kujua historia yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…