..Mama Abduli amezungukwa na watu waongo na wanafiki wasiojali kuhusu legacy yake.
..hata viongozi wa Dini kwa maana Maaskofu na Mashekhe wanaomshauri wengi ni waongo wasiojali interest za nchi.
..Wakuu wa vyombo nao ni incompetent kwa kushindwa kusoma hali ya kiusalama na kutoa ushauri ambao ungeepusha yaliyotokea.
..Mihimili ya Bunge, na Mahakama, nayo imeoza na imechangia kuupotosha mhimili wa serikali.
..Mama alikuwa na uwezo wa kushinda uchaguzi bila kujidhalilisha kwa kiwango hiki, na kusababisha mauaji na uharibifu wa mali.