Duh!Dawa ya wahalifu na wezi ni risasi za moto tu, no more. Hatucheki na kima
Nilikuwa sijakufahamu kiasi hiki, mkuu 'Stuxnet'!
Naona hii miaka mitano, kama kweli itakuwepo, nchi hii itakuwa ni ya aina tofauti kabisa na ilivyowahi kuwa.
Tuitegemee Sudan kama inavyokwenda sasa?
Kwako wewe, utawala wa Samia ni kila kitu zaidi ya uwepo wa Tanzania; kwa nini?
Hawa waTanzania mlio waua ili Samia abaki madarakani ili muendelee na mambo yenu, hiyo ni thawabu kubwa zaidi kwenu?
Najuwa, hata tukijisalimisha kwenu kwa ujumla wetu, bado mtakuwa hamridhiki, kwa sababu ni hulka yenu ya kuwa watu wadharimu
Ni hivi: Tanzania itakombolewa. Hamuwezi kamwe kuwatawala waTanzania kwa vitisho vya kuwaua. Nyinyi pia mnao uhai unaoweza kuondolewa na vyombo hivyo hivyo mnavyo vitegemea sasa hivi kuondoa uhai wa waTanzania.
Sitahangaika tena na wewe, mtu mwenye 'mentality' kama hii uliyo ionyesha kwenye mada ya kipuuzi kabisa kama hii.
Lakini mlango nauacha wazi, kurudi nikiwa na joho la "ukichaa" ikilazimu, ili tuelewane vizuri zaidi katika hali hiyo.