Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
- Thread starter
- #81
Wewe Muhalifu aje nyumbani kwako kuchoma nyumba yako utamuacha salama?Pumbavu zako
Nyie ni Wahalifu Vibaka adhabu mliyo ipata imewafaa kabisa.
Nayapongeza Majeshi yetu yote kwa kazi nzuri waliyo ifanya dhidi ya hawa wahalifu walio kuwa wamejipanga kuja kuharibu amani ya Nchi.
Muandamanaji gani anae kwenda kuandamana hana bango la ujumbe?
Zaidi ya hapo tulishuhudia tu wana vunja Maduka ya watu wanaiba, wanachoma moto mali za watu, wana vamia kwenye Bar wanakunywa Pombe! Maandamano gani ya hivyo?
Wezi wahalifu wakubwa nyie.