GE2025 Kama hujafa maandamano ya 29/10 basi wewe ni key board warrior tu, msituchoshe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwikwikwikwi. 🤣 🤣 🤣 🤣 Sisi tulikuwa busy kupiga kura. Nyie mko huko ulaya mlakula pensheni za wazee wa kikoloni. Huo ni utumwa mdogo wangu. Mwanaume mzima unakubali kuosha migongo ya wazee wa kizungu. Aibu

..Naishi mwananyamala kama unahitaji kunipata.

..Nafasi ya kufanya uchaguzi mzuri ambao ungemalizika bila vurugu ilikuwepo.

..Mama angetekeleza 4R tusingekuwa tunazungumzia maafa yaliyotokea.

..Mama atafute washauri wapya. Waliomfikisha hapa hawafai.
 
Uongo. Kila mtu anakujua wewe unapokaa. Usidhani kutumia majina fake kwenye mtandao huwezi ukajulikana. Watanzania wote wenyenia njema na Tanzania walipiga kura na mgembea wa CCM alipata kura zaidi ya 31,000,000.

Mpango wenu mlichemka. Analyisis zote zinaonesha kuwa SSH anapendwa na watanzania wengi.

Tathimini zinaanzia kwenye kampeni mpaka kwenye siku ya kupiga kura saa Tano.
Mlijaribu kuleta vitisho mkidhani kuwa uchaguzi utaahirishwa mkakwama.

CHADEMA waligoma wao wenyewe kushiriki uchaguzi wakitegemea kuleta vitisho ili uchaguzi usifanyike. Baada ya kuona miaka 5 hawatakuwa na ruzuku yoyote kutoka kwa Wabunge na Madiwani kwamba CHADEMA itakufa. Mmegeuka kuwa kikundi cha mauaji ya kibali.

Hatua zote zinazohitajika zilifanyika.

1. Moja mlitaka mabadiliko ya sheria za uchaguzi = Zilifanyika
2. Mliitwa kwenye mjadala wa sheria za uchaguzi mlienda na mkashiriki = Baada ya kuona maslahi yenu binafsi na ya bwana zenu kutoka Ubelgiji na Ujerumani yamekwamba mkasusia.
3. Mliitwa kupeleka maoni kuhusu kanuni za uchaguzi mlipeleka maoni yenu na mkaridhia kanuni hizo
4. Wakati wa kusaini kanuni za uchaguzi mkasusia. Who are you in This Coutry?

MNAMTISHA NANI SASA?

HUO NI UPUMBAVU na KUKOSA USTAARABU. Kwakuwa familia yako na wewe mpo ulaya mnadhani hatuwajui?
 
..Nimekwambia naishi Mwananyamala. Lakini hoja yangu haiwi mbaya, au nzuri, kwasababu ya mahali ninapoishi.

..Mama alifanya marekebisho ya kitoto na kilaghai katika Tume ndio maana Chadema wakasusia. Bila shaka washauri walimpa ushauri mbaya na yeye akaufanyia kazi.
 
Ushauri unasikilizwa siyo lazima uchukuliwe. Hakuna mtu asiyekujua wewe.

Jana internet haikuwepo Tanzania ulikuwa una post kwa kutumia mtandao gani. Usituone watanzania mafala wewe endelea kuosha vizee vya kizungu huko Ulaya, tuachie Tanzania yetu. Umeamua kuondoka wewe nenda hatukutaki

1762202033180.png
 
Yaani unajiona mjanja mwenyewe Kwikwikwikwikwi Unajidanganye wewe na nafsi yako tu. Huku unajiumbua wazi wazi.

Wewe haupo Tanzania unapiga kelele ukiwa nje ya nchi
 
Aisee unaposema hivyo unatunganisha wote! Mimi kama mimi(sijui wengine) nhlienda kusubiria muda wa KUKIWASHA karibu na kituo cha kupiga kura cha mtaa wa MWANGAZA wilaya ya TARIME. Hata mara ya mwisho mimi kuwa humu ni saa 4 ambapo nilitoa maoni kwenye thread ya yule msichana msayuni! Hapa kwetu Tarime, kulikuwa shwari hadi ilipofika mida ya saa 8! Mimi niliandamana pamoja na wanatarime wenzangu na niliyoyashuhudia hadi leo nikilala nayaota.

Kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe nimeshuhudia mtu akidanja pembeni yangu! Kwa mara ya kwanza nimekoswa na risasi wakati nakimbia(ndo iliyompata mtu aliyekuwa pembeni yangu) kwa mara ya kwanza ndo naona kichwa kikifumuliwa na risasi live bila chenga! Kwa mara ya kwanza nimeona watu wasivyo na utu baada ya kuona mtu ameanguka na kuumia lakini mwingine anan'gan'gana na kilichomo mfukoni mwa suruali yake! Hivyo kuwa na heshima unapoongea. Nashukuru mimi sio keybody warior! Nilitoa simu yangu ili nirecod yale matukio ila mpaka sasa hivi iko ndani kioo kimepasuka!!.
 
Ushauri unasikilizwa siyo lazima uchukuliwe. Hakuna mtu asiyekujua wewe.

Jana internet haikuwepo Tanzania ulikuwa una post kwa kutumia mtandao gani. Usituone watanzania mafala wewe endelea kuosha vizee vya kizungu huko Ulaya, tuachie Tanzania yetu. Umeamua kuondoka wewe nenda hatukutaki

View attachment 3496852

..mtandao haukuzimwa kwa kila mtu.

..kuna baadhi ya taasisi na kampuni lazima ziwe na mtandao 24/7/365.
 
Yaani unajiona mjanja mwenyewe Kwikwikwikwikwi Unajidanganye wewe na nafsi yako tu. Huku unajiumbua wazi wazi.

Wewe haupo Tanzania unapiga kelele ukiwa nje ya nchi

..kwanini Mama hakutekeleza 4R?
 
..Nimekwambia naishi Mwananyamala. Lakini hoja yangu haiwi mbaya, au nzuri, kwasababu ya mahali ninapoishi.

..Mama alifanya marekebisho ya kitoto na kilaghai katika Tume ndio maana Chadema wakasusia. Bila shaka washauri walimpa ushauri mbaya na yeye akaufanyia kazi.
Uwezo wako wa kufikiri upo chini ya kiwango kabisa. Nyie ndio mnaolipwa mkiwa nje ya nchi kuichafua Tanzania. Hakuna mtanzania yeyote raia halali wa Tanzania anayeweza kufanya unayofanya. Jana Internet haikuwepo hapa Tanzania wewe uliipata wapi? Stop pretending to be in Tanzania while your in other country. Unajidanganya mwenywewe tu.

1762202565220.png
 
Kuendelea kuzaa watoto nchi ikiwa chini ya CCM ni kuwalaani kiaina
 
..kwanini Mama hakutekeleza 4R?
Tuanze kwanza na wewe kuongea uongo kuwa upo Mwananyamala wakati haupo mwananyamala. Unakosa legality ya kujadili vitu vinavyohusu Tanzania kwa sababu huenda wewe siyo mtanzania, halafu wewe ni muongo na mzandiki.

1762202633932.png
 
Wote walio andamana mliwaua?
We jamaa kende sana

Unashabikia usiyoweza kufanya

Mmedanganya watoto wa watu Halafu mmebaki kutuma messages zenu humu

Shame on you

Una roho mbaya sana ya kinafiki
 
Tuanze kwanza na wewe kuongea uongo kuwa upo Mwananyamala wakati haupo mwananyamala. Unakosa legality ya kujadili vitu vinavyohusu Tanzania kwa sababu huenda wewe siyo mtanzania, halafu wewe ni muongo na mzandiki.

View attachment 3496857

..mada yetu haihusu wapi mimi, wewe, au mchangiaji yeyote, anapoishi.

..nimekuuliza swali dogo sana kwamba kwanini Mama hakutekeleza 4R?

..uchaguzi huu ungeisha salama kama Mama angekuwa ametekeleza 4R kwa dhati.

..pia vifo vingi vingeweza kuepukwa kama Polisi wangekabiliana na waandamanaji kwa kutumia maji ya washawasha, na mabomu ya machozi.
 
Ni swali kwako. Na kama bado huelewi maana yake utakuwa hujitambui ni sehemu ipi unakosimamia wewe ndani ya taifa hili..
Huwezi kuwa mguu mmoja upande wa waovu; halafu wakati huo huo ujifanye huhusiki na lolote. Waovu hao hao watakuweka watakakoona kunakufaa.
Keyboard warriors

Kamudomo online

And you let others sons and daughters on the roads
 
Back
Top Bottom