Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
- Thread starter
- #101
Typical Keyboard warrior, kutoa vitisho mtandaonisina haja ya kukutukana coz unaongea usichokijua! Kwa mara ya kwanza mimi The nightwalker namsamehe bure mtu kama wewe!! Ila usinichokoze. Nimekuacha coz haukushuhudia niloshuhudia mimi ndo maana unaongea chochote kile unachofikiria! Asee usinichokoze.