Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Wewe kima si ulikuwa unasema wa tz waoga na hakuna maandamano na hakuna atakaye thubutu?
Kama ni member wa JF na ulikuwa unahamasisha maandamano na uko hai basi wewe ni KEY BOARD WARRIORMkuu 'Stuxnet', staha ingekuwa kwamba usubiri kidogo watu wawazike vijana hawa, na Samia apumue na kutafakari haya yote yaliyojili.
Lakini najuwa moyo wa kujipongeza unao msukumo mkubwa sana kuweza kuushinda; kwa hiyo imelazimu uje hapa mara moja hii kutupasha/kutukumbusha upumbavu wetu mkubwa tulio nao.
Basi mkuu, acha nikupe wewe na Samia Suluhu Hassan hongera zenu nyingi za ushindi wa damu za vijana hawa. Ninachojuwa mimi, hii damu kamwe haitaondoka akilini mwenu tena maisha yenu yote.
Kuhusu nafasi zetu wengine tuliokuwa tunaililia Tanzania yetu; usiwe na shaka hata kidogo kwamba kamwe hatukati tamaa.
In fact, kumwagika kwa damu ya hawa vijana ndiko kutakuwa kichocheo kikubwa kwetu kuzidi kuipigania nchi yetu kwa njia zozote zitakazo wezekana.
Kwa hiyo, usiwe na shaka, bado tupo pamoja sana na nyinyi.
Fahamu kwa hiki mlichowatendea ndugu zetu, iko siku tutawaulizeni mtujibu, mmefanya ushetani wa hali ya juu, mmewahamasisha vijana hata wasiofaidi sana hizo siasa, na nyie mkajificha kwenu huku mkiwaacha vijana wetu, ndugu zetu wakiumia. Mungu akashughulike na nyie, hamtaepuka hizi lawamaUnakazwa ww, kwahy ukifa Ndo ishara ya ulikuwa unapambana, bc wanajeshi wakienda vitani wasirudi wafie huko huko. Punga ww
Tatizo unaishi kwa kukariri sana. Nipo Tanzania nimejaa tele.Hata Lord Denning intel zimeknesha hayupo Tanzania.
Kaka tuponye nchi na kugangana mioyo. Naomba mambo ya siasa tuweke pembeni mkuu wangu kwa sasa sio mda wa kunangana huu. Watu wamepoteza ndugu ma marafiki. Moyo wangu umeinama sana kwa kilichotokea.
Hatuwasahau mmechochea vurugu na uasi kwa jina la kudai haki huku ndugu zetu wamefariki na tumepoteza biashara nyie mkiwa zenu Nairobi, Ulaya na Marekani salama salimini. Jinai haitokaa ioze na Serikali inatizama nadhani mmeridhika sasa damu mlizozitaka zimemwagika mmefurahi sasa wafadhili wawape pesa muendelee kuishi wakati sisi tumezika ndugu zetu na hakuna kilichobadilika. Kaeni mkijua siku moja mtakuwa accountable kwa kuchochea vurugu huku mkiwa distant, sisi tunawalaumu nyie wanaharakati na damu za watu mlizosababisha kumwagika hazitaenda bure, nafikiri kwa sasa mna amani.Nipo upande wa waovu, em nambie ushirika wangu kwenye huo uovu.
Wewe jamaa unataka watu wawe rigid ?? Ndiyo maana mumechochea maandamano na watu wamekufa sanaDuh!
Mkuu 'Lusungo', sikutegemea kamwe kwamba umezama kiasi hiki kwenye mitafaruku hii ndani ya nchi yetu hii?
Ile kadhia ya Mbowe kuachia uenyekiti ilikudhuru kiasi hiki hadi kufikia hali hii?
Mbona zamani hukwa hivi!
Msikae kuanza kulaumu nyie ndo wakulaumiwa kwamauwaji hayo vurugu mmeinzisha nyie wanao kuja kufa niwengine. Yaani laana tayari imewashika wote walioshiliki ktk uharifu huo hatapona hata mmojawenu. Atakufa mmojammoja mpaka mtaisha wote.pumbavu
Sema wewe ni mtu wa hovyo kuwahi kutokea umetumbukiza vijana kwenye Chaka. Haya October 29 imepita na maisha yanaendelea, angalieni agenda msishindane na Serikali, kuna lugha za kuongea na serikali sio kuifokea..rai yangu siku zote ilikuwa wananchi wagomee kupiga kura.
..kwanza, nilijua 100% kuwa hakuna ushindani na Mama Abdul angetangazwa mshindi.
..pili, nilijua wananchi wakiandamana Mama Abduli atatuma askari wake wakauwe waandamanaji.
Sema wewe ni mtu wa hovyo kuwahi kutokea umetumbukiza vijana kwenye Chaka. Haya October 29 imepita na maisha yanaendelea, angalieni agenda msishindane na Serikali, kuna lugha za kuongea na serikali sio kuifokea
Roho za vibaka wote waliohusika kuvunja maduka ya watu, kuchoma moto magari ya watu na kuharibu miundombinu ya umma zilazwe kwenye moto mkali wa Jehanam.Huyo mama na yeye asiwatume polisi kupambana na wananchi, tunataka aje mwenyewe na bastola tuone kama atafika hatua tano mbele.
Atanyoroshwa balaa. Aendelee kujificha tu.
Mimi binafsi lawama zangu kwa waandamanaji ambao walivunja amani, yaani wale waandamanaji wezi na wachoma miundombinu ndio wasababishaji wakubwa wa hivi vifo..Mama Abduli amezungukwa na watu waongo na wanafiki wasiojali kuhusu legacy yake.
..hata viongozi wa Dini kwa maana Maaskofu na Mashekhe wanaomshauri wengi ni waongo wasiojali interest za nchi.
..Wakuu wa vyombo nao ni incompetent kwa kushindwa kusoma hali ya kiusalama na kutoa ushauri ambao ungeepusha yaliyotokea.
..Mihimili ya Bunge, na Mahakama, nayo imeoza na imechangia kuupotosha mhimili wa serikali.
..Mama alikuwa na uwezo wa kushinda uchaguzi bila kujidhalilisha kwa kiwango hiki, na kusababisha mauaji na uharibifu wa mali.
Walisusa ili waje wakinukishe, na wamekinukisha kweli ila wamenuka wao..Nimekwambia naishi Mwananyamala. Lakini hoja yangu haiwi mbaya, au nzuri, kwasababu ya mahali ninapoishi.
..Mama alifanya marekebisho ya kitoto na kilaghai katika Tume ndio maana Chadema wakasusia. Bila shaka washauri walimpa ushauri mbaya na yeye akaufanyia kazi.
Unewagharimu vijana wa Kitanzania maisha kwa kuhamasisha waandamane, huku wewe ukilipwa na mabeberuTatizo unaishi kwa kukariri sana. Nipo Tanzania nimejaa tele.
Unadhani wote ni wajinga kama wewe? Pamoja na mitandao kufungwa watu tulikuwa na uwezo wa kutumia internet na tupo Tanzania.