Nipo upande wa waovu, em nambie ushirika wangu kwenye huo uovu.Ni swali kwako. Na kama bado huelewi maana yake utakuwa hujitambui ni sehemu ipi unakosimamia wewe ndani ya taifa hili..
Huwezi kuwa mguu mmoja upande wa waovu; halafu wakati huo huo ujifanye huhusiki na lolote. Waovu hao hao watakuweka watakakoona kunakufaa.
Duh!Samia ni Rais ama sio Rais? Mmemuondoa? Hata wewe intel zinaonesha haupo TZ na mmechocha watu wameuawa 🙌🙌🙌🙌
Ushiriki wako ni wa kuwatia moyo waendelee na uovu wao, kila mara wanapoona huwezi kutamka lolote dhidi ya uovu wanaowafanyia waTanzania.Nipo upande wa waovu, em nambie ushirika wangu kwenye huo uovu.
Samia ni Rais ama sio Rais? Mmemuondoa? Hata wewe intel zinaonesha haupo TZ na mmechocha watu wameuawa 🙌🙌🙌🙌
Sijafurahia mauaji pia nilikua kinyume sana na approach zilizotumika kuhusu 29 October!! Waliokua wakihamasisha ilikua ni mbinu zile zile za akina Kinjekitile Ngwale! Hivi mkuu in real sense unaweza ukanunua ujinga eti watu waingie frontline JWTZ itawalinda kweli? JWTZ hii hii iliyotumika kuumiza ZNZ miaka na miaka? Shida ni kuwa sauti zilizokua na maoni tofauti zilihesabika kulamba asali!!Duh!
Mkuu 'Lusungo', sikutegemea kamwe kwamba umezama kiasi hiki kwenye mitafaruku hii ndani ya nchi yetu hii?
Ile kadhia ya Mbowe kuachia uenyekiti ilikudhuru kiasi hiki hadi kufikia hali hii?
Mbona zamani hukwa hivi!
Wote walio andamana mliwaua?Kumbe hukuandamana?
Wahamasishaji wa maandamano bado wote wako online inaonekana wao walifanya vizuri mazoezi ya kukwepa risasi
Sijafurahia mauaji pia nilikua kinyume sana na approach zilizotumika kuhusu 29 October!! Waliokua wakihamasisha ilikua ni mbinu zile zile za akina Kinjekitile Ngwale! Hivi mkuu in real sense unaweza ukanunua ujinga eti watu waingie frontline JWTZ itawalinda kweli? JWTZ hii hii iliyotumika kuumiza ZNZ miaka na miaka? Shida ni kuwa sauti zilizokua na maoni tofauti zilihesabika kulamba asali!!
Anyways pole kwa wote waliofikwa na hii massacre!! 🙌🙌
Wanajijuwa, kazi zao kuchochea maandamano, wanakufa vijana wasiojielewa wao wanabakia kuandika threads tu za kuonyesha maandamano yalivyofanikiwa. Hawa hapa; Mshana Jr, brazaj, Carlos The Jackal, Lord Denning, Kalamu, CHIEF PRIEST, Seran, Mayor Quimby, The seer, Mbaga Jr, JokaKuu, Mzee Mwanakijiji
Tafadhali ongeza wengine hapa........
Wanajijuwa, kazi zao kuchochea maandamano, wanakufa vijana wasiojielewa wao wanabakia kuandika threads tu za kuonyesha maandamano yalivyofanikiwa. Hawa hapa; Mshana Jr, brazaj, Carlos The Jackal, Lord Denning, Kalamu, CHIEF PRIEST, Seran, Mayor Quimby, The seer, Mbaga Jr, JokaKuu, Mzee Mwanakijiji
Tafadhali ongeza wengine hapa........
Mkuu unachowaza wala sio wanachohitaji wao. Wanachohitaji wao ni kulinda madaraka waliyonayo iwe kwa heri au kwa Shari. Hayo mambo ya haki achana nayo, wala hawayahitaji kufanya..Mama angetekeleza 4R uchaguzi ungepita salama.
..tuachane na propaganda tumsaidie Mama atende HAKI ili amani itamalaki.
Kazi ya wanachama wa CCM zaidi ya 15,000,000 siyo kupambana na vibaka na waharifu kutoka Kenya, Rwanda na Uganda. Vyombo vya ulinzi vinatosha...Na Ccm na machawa wote walijificha hakuna hata mmoja alijitokeza kupambana na gen-Z.
Sijafurahia mauaji pia nilikua kinyume sana na approach zilizotumika kuhusu 29 October!! Waliokua wakihamasisha ilikua ni mbinu zile zile za akina Kinjekitile Ngwale! Hivi mkuu in real sense unaweza ukanunua ujinga eti watu waingie frontline JWTZ itawalinda kweli? JWTZ hii hii iliyotumika kuumiza ZNZ miaka na miaka? Shida ni kuwa sauti zilizokua na maoni tofauti zilihesabika kulamba asali!!
Anyways pole kwa wote waliofikwa na hii massacre!! 🙌🙌
Tafuteni wimbo mwingine sasa. Huu unaoimba watanzania wameushitukia Kwikwikwikwikwikwi..Mama Abduli amezungukwa na watu waongo na wanafiki wasiojali kuhusu legacy yake.
..hata viongozi wa Dini kwa maana Maaskofu na Mashekhe wanaomshauri wengi ni waongo wasiojali interest za nchi.
..Wakuu wa vyombo nao ni incompetent kwa kushindwa kusoma hali ya kiusalama na kutoa ushauri ambao ungeepusha yaliyotokea.
..Mihimili ya Bunge, na Mahakama, nayo imeoza na imechangia kuupotosha mhimili wa serikali.
..Mama alikuwa na uwezo wa kushinda uchaguzi bila kujidhalilisha kwa kiwango hiki, na kusababisha mauaji na uharibifu wa mali.
Naona huelewi ni watu wa aina gani unaojieleza kwao kwa maneno yako haya.Kaka tuponye nchi na kugangana mioyo. Naomba mambo ya siasa tuweke pembeni mkuu wangu kwa sasa sio mda wa kunangana huu. Watu wamepoteza ndugu ma marafiki. Moyo wangu umeinama sana kwa kilichotokea.
Tafuteni wimbo mwingine sasa. Huu unaoimba watanzania wameushitukia Kwikwikwikwikwikwi
Kwikwikwikwi. 🤣 🤣 🤣 🤣 Sisi tulikuwa busy kupiga kura. Nyie mko huko ulaya mlakula pensheni za wazee wa kikoloni. Huo ni utumwa mdogo wangu. Mwanaume mzima unakubali kuosha migongo ya wazee wa kizungu. Aibu..sikuona chawa yeyote akidhibiti maandamano. wote walijificha.🤣
..wimbo wa HAKI ndio umepanda chati sasa.
..Uchawa itabidi uje kwa utaratibu mpya sio ule wa siku zote.
..Mama angetekeleza 4R uchaguzi ungepita salama.