Typical Keyboard warrior, kutoa vitisho mtandaonisina haja ya kukutukana coz unaongea usichokijua! Kwa mara ya kwanza mimi The nightwalker namsamehe bure mtu kama wewe!! Ila usinichokoze. Nimekuacha coz haukushuhudia niloshuhudia mimi ndo maana unaongea chochote kile unachofikiria! Asee usinichokoze.
Huyu Mbaga Jr ni Nyumbu Promax alijiposti akishiriki kwenye maandamano yalipoanza huko Ubungo na Sinza akiwa amevaa kandambili huku akimsema ndugu yake Mshana Jr kwamba hajafika kwenye maandamano. Waki-analyse hiyo video clip kwa kutumia Metadata Analyzer wanamkamata kama kuku wa kideli 🤣🤣🤣Ni swali kwako. Na kama bado huelewi maana yake utakuwa hujitambui ni sehemu ipi unakosimamia wewe ndani ya taifa hili..
Huwezi kuwa mguu mmoja upande wa waovu; halafu wakati huo huo ujifanye huhusiki na lolote. Waovu hao hao watakuweka watakakoona kunakufaa.
Na wewe ndiye kiranja wa machawa wa Dhalim SamiaChief Priest ndiye kiongozi mwandamizi wa ma KEYBOARD WARRIORS
Ule ni mwanzo tuu, endeleeni kuteka na kuua mtapata mnachostahili, Na hamna hizo nguvu kama unavyofiria, maandamano kidogo tuu bila hata organizers wanaojulikana, mmeharisha week nzimaUnasema hivyo kwa kuwa ulikuwa sebuleni kwako ukiangalia TV. Ile mob ulikuwa huwezi kui control kwa mabomu ya machozi. Risasi za moto ndiyo zimeleleta heshima na utulivu huu tulionao leo
Kenyatta hakuteka wala kuua watu au kupiga risasi wananchi wake, hilo bi ushungi limeua sana na ushahidi upo, mtasamsaidia kifungo this timeICC ya Kazuramimba labda. Lakini ICC ya the Hague siyo ngeni. Kwani Uhuru Kenyatta na William Rutto waliwahi kushtakiwa huko baada ya vurugu za Kenya za mwaka 2008, na wakaendelea kuwa Ma Rais wa Kenya hadi sasa
Jibu swali si ulisema hakuna watu wanaweza kutoka?Yale hayakuwa maandamano bali ni wizi na uharibifu wa mali. Kwa nini uchome kituo cha mwendokasi?
Nadhani wewe ni mtoto wa juzi. Ulikuwepo wakati wa Mungiki?Kenyatta hakuteka wala kuua watu au kupiga risasi wananchi wake, hilo bi ushungi limeua sana na ushahidi upo, mtasamsaidia kifungo this time
Wewe hujafa? Basi wewe siyo shujaa.Jibu swali si ulisema hakuna watu wanaweza kutoka?
Maandamano siku zote na duniani kote yana matokeo hayo.
Kwani hukuona mambo mengne differ na kuchoma mwendokasi?
Una mchango mkubwa sana katika kuhamasisha watanzania kujitambua na kujua njia sahihi ya kupambana haswa linapokuja suala la kupigania HAKI.Wewe cheo chako ni nani kwenye jeshi la mashujaa wa mtandao?
Yale siyo maandamano ya kutaka demokrasia au kutetea waliotekwa waachiwe bali ni magenge ya wezi na waharibifu.Ule ni mwanzo tuu, endeleeni kuteka na kuua mtapata mnachostahili, Na hamna hizo nguvu kama unavyofiria, maandamano kidogo tuu bila hata organizers wanaojulikana, mmeharisha week nzima
Kwani umezaliwa lini wewe? Ulikuwa na umri gani mwaka 2007?? Je unawajua watu wanaitwa MUNGIKI? Unajuwa nini walifanya MUNGIKI kwa malabila yasiyo Kikuyu?Kenyatta hakuteka wala kuua watu au kupiga risasi wananchi wake, hilo bi ushungi limeua sana na ushahidi upo, mtasamsaidia kifungo this time
Mambo mengine niliona ni kuiba kwenye maduka kama ya Shopperz Plaza pale Tegeta Skanska na Kibo Complex, niliona wakiingia The Voice Club pale Kinyerezi na kunywa bia kisha kuchoma club.Jibu swali si ulisema hakuna watu wanaweza kutoka?
Maandamano siku zote na duniani kote yana matokeo hayo.
Kwani hukuona mambo mengne differ na kuchoma mwendokasi?
Mambo mengine niliona ni kuiba kwenye maduka kama ya Shopperz Plaza pale Tegeta Skanska na Kibo Complex, niliona wakiingia The Voice Club pale Kinyerezi na kunywa bia kisha kuchoma club.Jibu swali si ulisema hakuna watu wanaweza kutoka?
Maandamano siku zote na duniani kote yana matokeo hayo.
Kwani hukuona mambo mengne differ na kuchoma mwendokasi?
Nashukuru Mkuu Ngorunde kwa kulitambua hilo. Naamini nimeokoa watu wengi wasiingie maandamano kwa hoja zangu japo wananibeza kwenye comments.Una mchango mkubwa sana katika kuhamasisha watanzania kujitambua na kujua njia sahihi ya kupambana haswa linapokuja suala la kupigania HAKI.
Umekuwa na msukumo Kwa kiwango kikubwa kwa watu waliokuwa wanakaa nyuma ya simu zao, na hatimae wameweza kujitokeza kwenye maandamano live ili wasiwe tena mashujaa wa mtandaoni bali washiriki wazi uwanjani kama ulivyoona.
Hongera sana mkuu, kazi yako ni njema mno, japo wengi wanaweza wasikuelewe.
Tundu ndiye wa kwanza kuanza kubeza 4R kwenye majukwaa ya hadhara, Morogoro