Duh!Dawa ya wahalifu na wezi ni risasi za moto tu, no more. Hatucheki na kima
Una mwaka mzima unasema hutajibizana na mimi lakini kila niki post unajipendekeza ku commentDuh!
Nilikuwa sijakufahamu kiasi hiki, mkuu 'Stuxnet'!
Naona hii miaka mitano, kama kweli itakuwepo, nchi hii itakuwa ni ya aina tofauti kabisa na ilivyowahi kuwa.
Tuitegemee Sudan kama inavyokwenda sasa?
Kwako wewe, utawala wa Samia ni kila kitu zaidi ya uwepo wa Tanzania; kwa nini?
Hawa waTanzania mlio waua ili Samia abaki madarakani ili muendelee na mambo yenu, hiyo ni thawabu kubwa zaidi kwenu?
Najuwa, hata tukijisalimisha kwenu kwa ujumla wetu, bado mtakuwa hamridhiki, kwa sababu ni hulka yenu ya kuwa watu wadharimu
Ni hivi: Tanzania itakombolewa. Hamuwezi kamwe kuwatawala waTanzania kwa vitisho vya kuwaua. Nyinyi pia mnao uhai unaoweza kuondolewa na vyombo hivyo hivyo mnavyo vitegemea sasa hivi kuondoa uhai wa waTanzania.
Sitahangaika tena na wewe, mtu mwenye 'mentality' kama hii uliyo ionyesha kwenye mada ya kipuuzi kabisa kama hii.
Lakini mlango nauacha wazi, kurudi nikiwa na joho la "ukichaa" ikilazimu, ili tuelewane vizuri zaidi katika hali hiyo.
Najuwa nilisha hitimisha huko juu kuhusu msimamo wangu kwako; lakini inanilazimu nimalizane na hivi viporo ambavyo nilikuwa bado sijavifikia.Kama ni member wa JF na ulikuwa unahamasisha maandamano na uko hai basi wewe ni KEY BOARD WARRIOR
Basi sawa. Nipo tayari, na sasa nasema popote, nikikuona tu tupo pamoja, wewe na mimi, forever.Una mwaka mzima unasema hutajibizana na mimi lakini kila niki post unajipendekeza ku comment
Mimi ni kama maji, huwezi kunisusia. Ukinikosa kunywa basi utafulia, ukikosa kujengea basi utatutumia kama njia ya usafiriNajuwa nilisha hitimisha huko juu kuhusu msimamo wangu kwako; lakini inanilazimu nimalizane na hivi viporo ambavyo nilikuwa bado sijavifikia.
SAWA. Mimi ni "Key Board Warrior", wewe je ni nani? Ningependa kujuwa nafasi yako ni ipi katika haya maswala ya nchi yetu.
Kama mimi ni "Key Board Warrior", nisiyekuwa na nyenzo za kufanya kama mlivyo wafanyia waTanzania wezetu na kuondoa uhai wao; ungependa niwe "warrior" kwa njia ipi ili niweze kulipa haki za hawa wahanga wa uovu wenu?
Hawa mlio waondoa uhai wao, wewe unawapa jina gani la u-'warrior' wao? Huoni kuwa washenzi kama wewe mlivyo waoga? Mnakwenda kupambana na watu ambao hawana silaha yoyote, halafu mnajipa ujasiri wa kuja hapa na kujigamba kuwa ma'warrior; sijui wa kitu gani?
Wewe ujasirinwako ni upi hasa, unaokufanya kuja hapa na kubeza juhudi za waTanzania kupigania haki zao?