Kama hujajipanga vizuri usichokoze ujenzi

Sahii kabisa,
Unajenga nyumba ndogo unaikamilisha,anaingia mpangaji unachapa mwendo
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla na rejareja :-
2*2 fut12=2500
2*3 fut 12=3500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=14000
1*10fut 12 fisher board( treated)=15000
2*4 fut18(treated)=10000
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu pia Tunafanya delivery kwa wakazi wa Dar es salaam
Ofisi zetu zipo Tegeta kibaoni-Bagamoyo road
 
Hebu tafadhali weka floor plan ya hii nyumba yako
 
Unauza ndaga au?
 
Tofali za kuchoma na za block zinatofautina sana

Tofali 4,000 za kuchoma zinajenga vyumba viwili tu na kama ni vikubwa e.g. 4mx4m hazitatosha.

Tofali 4000 za block unaweza kujenga vyumba 10 vya 4mx4m
 
Napokea maana mimi ni mmoja wapo.

Lakn wito wangu hakikisha ukianza kujenga

Jenga na Uhamie maana ukiacha haijaisha

Anakuwa hasara maana utakuwa imepoteza hela nyingi sana .
 
Sitaki kuwakatisha watu tamaa lakini kujenga sio laisi labda kama unajenga kibanda … mimi nilikuwa mmoja wa watu wanaofikilia hivyo hadi nilipoanza kujenga nilikuwa na Zaidi ya mil 110 yote imekwisha na nyumba bado sana ndio kwanza nimefunika zege la ghrofa ya kwanza nyumba ya 5bed rooms ghrofa moja na kisehemu cha kupunzikia juu . So kama unataka kujenga nyumba standard jipage .
 
Kuna mikoa msingi tu wa nyumba ya 3 bedrooms kimoja master , public toilet ,dinning, na store ina kugharimu had 3.6m had kupaua inakuwa approximated to 15m yan boma zima na ni kwa nyumba ya 11×12 na hapo bado finishing [emoji848][emoji848][emoji848]
 

Kwahiyo unataka kuaminisha uma kujenga nyumba ya kuishi ni lazima uwe na milioni 100+?
 
Uko sahihi sana.
Ila ukisema hapa unaonekana unataka sifa ila hapana.

Ujenzi ni gharama mnooo
 
[emoji120]
 
Ushajenga hapo hongera
 
Ujenzi lazima utafune pesa ya akiba na kukuingiza kwenye mikopo, ukiamua kujilipua kuchukua mkopo mkubwa hakikisha unakamilisha vitu muhimu vya kukuwezesha kuhamia utaendelea na finishing mdogo mdogo, vinginevyo kuendelea kulipa kodi ya nyumba inaweza kuwa mtihani.​
 
Hata 30m unajenga inategemea unataka nyumba ya namna gani
Kama unataka kujenga kibanda sawa lakini nyumba standard ni Zaidi ya Mil 100.. Nondo tani moja ni 2.6 milioni , lori la mchanga 280000 , cement ya msingi na kuanzia at least mifuko mia , bado tofali bati ,Mbao madirisha , milango nk . Acha kusikiliza watu ujenzi ni gharama sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…