Kweli kabisa: unaweza kuona kuwa umepata plot kwa bei nzuri, lakini garama za kwenda na kurudi Kwako ni bora ungepanga Masaki, Kingine Usalama wako na mali zako, kweli upo kwako lakini usumbufu wa vibaka kila mara unaweza kukuletea msongo wa mawazo japo ulipi kodi.Naona bora kujenga karibu
Umeanza mwaka gani mkuu?
Unataka kujua gharama za kitu gani?Huu Uzi jamani mtaje na gharama nafuatilia sana maana nataka kuanza mwakani inshallah .
Mfano mpaka kuezeka kwa experience jumla Bei gani kwa vyuma vinneUnataka kujua gharama za kitu gani?
OkMfano mpaka kuezeka kwa experience jumla Bei gani kwa vyuma vinne
Naandaa 30milOk
Kama una kiwanja sawa
Foundation andaa milion 4 (settings ya kiwanja laki 3, mawe trip 15 za cum 4.5 @110,000. Mchanga trip 5@120,000, nondo 50@26,000. BRC, cement 50@16,000 na tofali 1500 na ufundi.
Pagale tofali 3000@1200, nondo za linta 40, cement 80 au 100 ukimimina na nguzo za verandah,
Mbao za Kenchi ukiwa na milioni 2.5 na bati 130 kutegemea na grade andaa milioni 4.5 kwenye bati na ufundi
Kwa haraka haraka msingi hadi kuezeka sio chini ya milioni 25 hadi 30 kutegemea na eneo na uaminifu wa mafundi.n
Hesabu zako ni halisi mno. Humo humo sema cha kuzingatia eneo la ujenzi liwe tambarare. Na pia kama msingi ni wa tofali 6" budget itaongezeka kidogo.Ok
Kama una kiwanja sawa
Foundation andaa milion 4 (settings ya kiwanja laki 3, mawe trip 15 za cum 4.5 @110,000. Mchanga trip 5@120,000, nondo 50@26,000. BRC, cement 50@16,000 na tofali 1500 na ufundi.
Pagale tofali 3000@1200, nondo za linta 40, cement 80 au 100 ukimimina na nguzo za verandah,
Mbao za Kenchi ukiwa na milioni 2.5 na bati 130 kutegemea na grade andaa milioni 4.5 kwenye bati na ufundi
Kwa haraka haraka msingi hadi kuezeka sio chini ya milioni 25 hadi 30 kutegemea na eneo na uaminifu wa mafundi.
Ukitumia mawe tofali unaachana nazo, sorry for thatHesabu zako ni halisi mno. Humo humo sema cha kuzingatia eneo la ujenzi liwe tambarare. Na pia kama msingi ni wa tofali 6" budget itaongezeka kidogo.
Sema hapo ulipoandika mawe trip15 then mwishoni tena tofali 1500 hapo sijakuelewa. Naona ni material mengi sana kwa msingi wa 4 bedroom hse.
Maana kwa tofali za 6 inches eneo tambarare vizuri tofali 2000 zinatosha bila mawe kuhusika kabisa, unless unapiga na jamvi kabisa.
Ina room ngapi? Master ngapi?My house costed around 45mil hadi kufika ilipo imebakiza tiles, aluminum na inside doors.
Haina haja ya kuandaa, we hata kama una laki 5 anza...ukisubiri ujaze Kibubu hutoboi...maana familia zetu hizi changamoto haziishi na ukiwa na ela inaenda, ukikaa vijiwe inaenda na hutajenga neverNaandaa 30mil
Nmeanza ujenzi 2011-Umeanza mwaka gani mkuu?
Hapana,Kwa kipato cha wengi wetu si rahisi
Labda kama wewe Mungu kakubariki vikubwa zaidi
Mzee unafanya Real estate au?Nmeanza ujenzi 2011-
nikajenga nyumba yangu ya kwanza ya kuishi (3 bedrooms,kimoja master),
mwaka 2013 nilipofulia nikaiuza nikarudi kupanga.
Nikafata 2014,
Nikajenga nyumba ya biashara (fremu 2+ godown 1)
Nikaja 2015
Nikajenga nyumba nyingine ya kuishi,
(5 bedrooms, viwili master)
Nikaja 2017
Nikajenga nyumba ya biashara
(Vyumba 10,vyote master)
Nikaja 2018,
Nikajenga nyumba ya kupangisha
(Chumba na sebule self- ziko 3)
Nikaja 2019,
Nikajenga nyumba ya kupangisha
(Chumba na sebule self-iko 1, na chumba single self-iko 1)
Nikaja 2020
Nikanunua pagale la
Vyumba 2 na sebule self (HAIJAKAMILIKA BADO)
Nikaja 2021
Nikaongeza chumba na sebule hazina self- ziko 2
Mwaka huu,
Nnaujenz wa mdg wa nyumba 3
-nyumba 2 nazijengea fensi kuzunguka,
na nyumba 1 nnazoezi la kuinua kuta ili ipande hewan, kufunga gypsum board na kuiwekea tiles ili niipangishe kwa Ela ya juu kdg.
Ujenz bado unaendelea.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia nilikua natishwa hivyo hivyo ila kujenga ni rahisi sana mzee
Mbinu unayotakiwa kutumia kwanza usijenge kama adhabu alaafu pili punguza matumizi yasiyo ya lazima na uanze ku save, ukisha save tenga kiasi Cha akiba alafu Anza ujenzi hakikisha ujenzi wako usiguse kabisa pesa ya akiba uliyo nayo.
Kama uliamua akiba yako iwe laki 3 fanya ufanyavyo tafuta hela tupia kwenye ujenzi ila huo ujenzi usiguse hiyo akiba yako, tafuta fundi akupigie hesabu ya vifaa na gharama za ufundi mtoe chake afanye kazi ila akiba yako ibaki palepale.
Epuka kujenga kwa kutumia hela zote Hadi kumaliza akiba yako yote utateseka zaidi na ujenzi hautakiwi uwe ni mateso.
Mbinu hizi za ujenzi tunatumia sisi wagangaa njaa na ukiweza kutumia hiyo mbinu utajenga Kama tajiri kumbe huna utajiri wowote na jengo litaisha bila maumivu
Nakubaliana na uchanganuzi wako kulingana na uzoefu nilionaoOk
Kama una kiwanja sawa
Foundation andaa milion 4 (settings ya kiwanja laki 3, mawe trip 15 za cum 4.5 @110,000. Mchanga trip 5@120,000, nondo 50@26,000. BRC, cement 50@16,000 na tofali 1500 na ufundi.
Pagale tofali 3000@1200, nondo za linta 40, cement 80 au 100 ukimimina na nguzo za verandah,
Mbao za Kenchi ukiwa na milioni 2.5 na bati 130 kutegemea na grade andaa milioni 4.5 kwenye bati na ufundi
Kwa haraka haraka msingi hadi kuezeka sio chini ya milioni 25 hadi 30 kutegemea na eneo na uaminifu wa mafundi.
Barikiwa kwa nondo nzuri.Ok

Nmeanza ujenzi 2011-
nikajenga nyumba yangu ya kwanza ya kuishi (3 bedrooms,kimoja master),
mwaka 2013 nilipofulia nikaiuza nikarudi kupanga.
Nikafata 2014,
Nikajenga nyumba ya biashara (fremu 2+ godown 1)
Nikaja 2015
Nikajenga nyumba nyingine ya kuishi,
(5 bedrooms, viwili master)
Nikaja 2017
Nikajenga nyumba ya biashara
(Vyumba 10,vyote master)
Nikaja 2018,
Nikajenga nyumba ya kupangisha
(Chumba na sebule self- ziko 3)
Nikaja 2019,
Nikajenga nyumba ya kupangisha
(Chumba na sebule self-iko 1, na chumba single self-iko 1)
Nikaja 2020
Nikanunua pagale la
Vyumba 2 na sebule self (HAIJAKAMILIKA BADO)
Nikaja 2021
Nikaongeza chumba na sebule hazina self- ziko 2
Mwaka huu,
Nnaujenz wa mdg wa nyumba 3
-nyumba 2 nazijengea fensi kuzunguka,
na nyumba 1 nnazoezi la kuinua kuta ili ipande hewan, kufunga gypsum board na kuiwekea tiles ili niipangishe kwa Ela ya juu kdg.
Ujenz bado unaendelea.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma post #41Hii akiba itakuwa ya kazi gani?