NimesomaSoma post #41
Hii ni nyumba kubwa, Grill umeshaweka ndani ya Gharama hiziMy house costed around 45mil hadi kufika ilipo imebakiza tiles, aluminum na inside doors.
Hapo kwenye tofali 5000mbona nyingi sana mkuu bungalow hilo!??
Huwa hamuwapi standard na michoro ya jinsi mnataka nyumba zenu ziwe?
Endeleeni kukatishana tamaa... Mtaani mama ntilie, muuza matunda, mwenye genge, machinga, fundi viatu hawa wote wanajenga nyumba nzuri tu... Mnaishia kuwaita wachawi freemason majambaz, wakat ukweli ni kwamba wakipata 10,000 basi 6,000 wanaitunza kwajili ya kununua matofali au cement...
Wengi mnasema kujenga ni kugumu kwasabab hamjui nini maana ya ramani, hamjui nini maana ya kiwanja, hamjui nini maana ya materials, hamjui kufanya utafiti wa bei za materials, bei za mafundi wazur wenye uzoefu, hamjui kukaa chini na kumpa masharti fundi (akiyashindwa aache kazi au atakosa malipo), fundi anekuambia zinahitajika cement mifuko 30 kazi ipo katikati anakuambia ongeza mifuko 20 unamchekea chekea tu lazima akuone fala akuchezee akili, kuna watu mnaokota raman hujui ina ukubwa gani [emoji23] hujui lolote unamwambia fundi wew jenga tu ilimradi nyumba ifanane na hii ramani, ktk mazingira haya lazima uone ujenz ni gharama...
Wewe kijana una biashara yako nzuri au una kazi nzuri ya uhakika miaka inazid kwenda upo umepanga chumba kimoja au chumba na sebule kazi yako kumlipa kodi mwanaume mwenzako are you stupid..? Bad enough ukute upo na Familia ktk nyumba ya kupanga... Kujenga ni jambo la kujitambua tu, haina haja kisa unajenga eti ushindwe kunywa bia kula vzuri au kununua nguo... Ni mpumbavu tu anayeweza kuogopa ujenzi mtakufa masikini ktk nyumba za watu...
Mkuu unarefinance au zote cash?Nmeanza ujenzi 2011-
nikajenga nyumba yangu ya kwanza ya kuishi (3 bedrooms,kimoja master),
mwaka 2013 nilipofulia nikaiuza nikarudi kupanga.
Nikafata 2014,
Nikajenga nyumba ya biashara (fremu 2+ godown 1)
Nikaja 2015
Nikajenga nyumba nyingine ya kuishi,
(5 bedrooms, viwili master)
Nikaja 2017
Nikajenga nyumba ya biashara
(Vyumba 10,vyote master)
Nikaja 2018,
Nikajenga nyumba ya kupangisha
(Chumba na sebule self- ziko 3)
Nikaja 2019,
Nikajenga nyumba ya kupangisha
(Chumba na sebule self-iko 1, na chumba single self-iko 1)
Nikaja 2020
Nikanunua pagale la
Vyumba 2 na sebule self (HAIJAKAMILIKA BADO)
Nikaja 2021
Nikaongeza chumba na sebule hazina self- ziko 2
Mwaka huu,
Nnaujenz wa mdg wa nyumba 3
-nyumba 2 nazijengea fensi kuzunguka,
na nyumba 1 nnazoezi la kuinua kuta ili ipande hewan, kufunga gypsum board na kuiwekea tiles ili niipangishe kwa Ela ya juu kdg.
Ujenz bado unaendelea.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa,Mkuu unarefinance au zote cash?
unamaliza kalamu kutukana badala ya kutoa elimuEndeleeni kukatishana tamaa... Mtaani mama ntilie, muuza matunda, mwenye genge, machinga, fundi viatu hawa wote wanajenga nyumba nzuri tu... Mnaishia kuwaita wachawi freemason majambaz, wakat ukweli ni kwamba wakipata 10,000 basi 6,000 wanaitunza kwajili ya kununua matofali au cement...
Wengi mnasema kujenga ni kugumu kwasabab hamjui nini maana ya ramani, hamjui nini maana ya kiwanja, hamjui nini maana ya materials, hamjui kufanya utafiti wa bei za materials, bei za mafundi wazur wenye uzoefu, hamjui kukaa chini na kumpa masharti fundi (akiyashindwa aache kazi au atakosa malipo), fundi anekuambia zinahitajika cement mifuko 30 kazi ipo katikati anakuambia ongeza mifuko 20 unamchekea chekea tu lazima akuone fala akuchezee akili, kuna watu mnaokota raman hujui ina ukubwa gani [emoji23] hujui lolote unamwambia fundi wew jenga tu ilimradi nyumba ifanane na hii ramani, ktk mazingira haya lazima uone ujenz ni gharama...
Wewe kijana una biashara yako nzuri au una kazi nzuri ya uhakika miaka inazid kwenda upo umepanga chumba kimoja au chumba na sebule kazi yako kumlipa kodi mwanaume mwenzako are you stupid..? Bad enough ukute upo na Familia ktk nyumba ya kupanga... Kujenga ni jambo la kujitambua tu, haina haja kisa unajenga eti ushindwe kunywa bia kula vzuri au kununua nguo... Ni mpumbavu tu anayeweza kuogopa ujenzi mtakufa masikini ktk nyumba za watu...
Usitufokee.Endeleeni kukatishana tamaa... Mtaani mama ntilie, muuza matunda, mwenye genge, machinga, fundi viatu hawa wote wanajenga nyumba nzuri tu... Mnaishia kuwaita wachawi freemason majambaz, wakat ukweli ni kwamba wakipata 10,000 basi 6,000 wanaitunza kwajili ya kununua matofali au cement...
Wengi mnasema kujenga ni kugumu kwasabab hamjui nini maana ya ramani, hamjui nini maana ya kiwanja, hamjui nini maana ya materials, hamjui kufanya utafiti wa bei za materials, bei za mafundi wazur wenye uzoefu, hamjui kukaa chini na kumpa masharti fundi (akiyashindwa aache kazi au atakosa malipo), fundi anekuambia zinahitajika cement mifuko 30 kazi ipo katikati anakuambia ongeza mifuko 20 unamchekea chekea tu lazima akuone fala akuchezee akili, kuna watu mnaokota raman hujui ina ukubwa gani 😂 hujui lolote unamwambia fundi wew jenga tu ilimradi nyumba ifanane na hii ramani, ktk mazingira haya lazima uone ujenz ni gharama...
Wewe kijana una biashara yako nzuri au una kazi nzuri ya uhakika miaka inazid kwenda upo umepanga chumba kimoja au chumba na sebule kazi yako kumlipa kodi mwanaume mwenzako are you stupid..? Bad enough ukute upo na Familia ktk nyumba ya kupanga... Kujenga ni jambo la kujitambua tu, haina haja kisa unajenga eti ushindwe kunywa bia kula vzuri au kununua nguo... Ni mpumbavu tu anayeweza kuogopa ujenzi mtakufa masikini ktk nyumba za watu...
Kwahio unafikiri nyuma inayohitaji matofali ya block 4,000 itatumia matofali ya kuchoma 4,000? Hivi huwa yanakuwa size sawa?let's say ujenzi wa nyumba mpaka kukamilika ni tofari elfu4, so piga hesabu 1block= 1000Tsh, so 4000blocks will be 4millionsasee gharama za bati hizi, lkn kama unge avoid kwa njia mkato utanunua tofar za kuchoma zile za 100/200Tsh per one, ambapo kama idadi 4000 basi itakuwa 100×4000 = 400,000Tsh ela ndogo sana ambapo unaweza ongezea na zingine za fensi,
Nadhan Ni tofal 4 za kuchoma kwa tofali Moja la block,hapo azidishe Mara 4[emoji4]Kwahio unafikiri nyuma inayohitaji matofali ya block 4,000 itatumia matofali ya kuchoma 4,000? Hivi huwa yanakuwa size sawa?
Nina kiwanja kigamboni nauza mkuu kama unakihitajiMi sina stress coz sijachoka kupanga halafu sina familia yaani msela tupu ningeanza hata mwaka huu sema nabagua viwanja nataka cha kigamboni karibu na niwe na access ya kufika post mpaka kariakoo ... Vya mbali sana sitaki
Ngoja nitulie nisije kupigwa !!Nina kiwanja kigamboni nauza mkuu kama unakihitaji
Sasa we si una unafuu wa kipato, kwa wale kipato hakipo stable lazima bati lipauke...ujenzi kwa wengi si lelemama[emoji848]Hapana,
Sio suala la kipato mku,
Suala Ni kujenga nyumba nnayoimudu.
Habar za kutelekeza pagale mpk bati zinaanza kupauka, sizipendi[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaMmmmm