Kama hujajipanga vizuri usichokoze ujenzi

Mi sina stress coz sijachoka kupanga halafu sina familia yaani msela tupu ningeanza hata mwaka huu sema nabagua viwanja nataka cha kigamboni karibu na niwe na access ya kufika post mpaka kariakoo ... Vya mbali sana sitaki
Unapelekwa viwanja vya mbali kwa sababu pesa yako haitoshi na unalazimsisha viwanja vya pesa ndefu ushauri wangu nunua hivyo hivyo vya mbali utakuja tushukuru badae maana hata hapo posta unapopatamani kuwa karibu napo kuna watu walikuona mbali miaka ile do nenda uko mbali kapabadilishe
 
Viwanja vipo hapo Kigamboni kwa Mkorea(kuna chuo cha Wakorea) 5km from Ferry na 3km from Darajani. SQM moja 35,000/-
 
Sio posta kabisa yaani pawe karibu kutoka posta kwa kigamboni mfano km 12 mpaka posta kiwanja kigamboni.
 
Bro deep pond ninaomba kaz Mimi ni fundi rangi na decoration za nyumba unaweza kutembelea ukurasa wetu.kwa jina la highland _decor_solution. Utaona project zetu huko 0757735884 napatikana WhatsApp pia
 
Bro nahusika kwenye finishing na decoration zake naomba kaz 0757735884 pia WhatsApp ipo nitakushauri materials ya kisasa na kusave cost au tembelea ukurasa wetu Instagram highland_decor_solution
 
Anza tu mkuu
Akili itajigeuza kutokana na mazingira yake
Mwenyewe hapa kg zinashuka tu[emoji16][emoji16]
Afu nije niowe mtoto wa mtu anisumbue akili namuuwa
🀣🀣🀣Umkute na kijaa chumbani kwako dah hyo kesi ni balaa lazima mmoja afe.
 
Hesabu zako zipo sawa kabisa. Nimetumia 30 Milion kuanzia msingi hadi kupaua nyumba vyumba vitatu.
 
Kuwa makini usinunue mali za wizi, hutafika mbali sana au zinaweza kukuzingua mbeleni
 
Mbona kuna mwamba amesema katumia milioni 6 na laki 8 nyumba imara kama chuma nyie wengine hizo milioni 30 mnajenga kwa WhatsApp nini?
Labda ujenzi wa Wilaya ya Mufindi tena vijinini huko na bado haitoshi maana kupaua tu material bila fundi lazima itakuwa zaidi ya 6M kwa bati ya geji 30.
 
Kweli kabisa hawa mafundi wetu bwana lazima upige mahesabu mwenyewe.
Lah sivyo utajikuta unasaga meno
 
We kweli upo site !!
 
Hizi gharama za mkoa gani!??,ziko juu mnoo. Poleni sana
 
Ila Mafundi wana majibu yao yanakatisha hadi tamaaa.... umejipanga na kamilioni 2 kako alafu Bwana Fundi anasema NGOJA TUANZE NA HII MILIONI 2 ALAFU TUONE ITAISHIA WAPI.....wakati wewe umejipinda kweli kweli kuipata hili Hela
Sasa Mkuu hii si ya msingi tu. Na haitoshi
 
huu mwaka wa 6 nna Jenga! ha ha ha haaa....daah mpaka hapa napojenga wanaita "pale kwenye lijumba kubwa la zamani lileee kwa mbele yake" km mtu anaagiza jambo ha ha ha haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…