Ok
Kama una kiwanja sawa
Foundation andaa milion 4 (settings ya kiwanja laki 3, mawe trip 15 za cum 4.5 @110,000. Mchanga trip 5@120,000, nondo 50@26,000. BRC, cement 50@16,000 na tofali 1500 na ufundi.
Pagale tofali 3000@1200, nondo za linta 40, cement 80 au 100 ukimimina na nguzo za verandah,
Mbao za Kenchi ukiwa na milioni 2.5 na bati 130 kutegemea na grade andaa milioni 4.5 kwenye bati na ufundi
Kwa haraka haraka msingi hadi kuezeka sio chini ya milioni 25 hadi 30 kutegemea na eneo na uaminifu wa mafundi.