Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

Mkuu haya yote yemelenga.mapenzi vip kuhusu yan kujali familia watoto kufanya kazi Yan shuhuli za ndani au wao wanasubiri kitandani tu
 
Mkuu Bado uko tanga ...? Nina hitaji unisaidie jambo aisee
 
Mbona hujapasifia Tanga Nyumbani Pazuri.
 
Mkuu haya yote yemelenga.mapenzi vip kuhusu yan kujali familia watoto kufanya kazi Yan shuhuli za ndani au wao wanasubiri kitandani tu
Wale wapo nyuma kwenye maendeleo ya kila aina yaani pande zote.
 
Tanga Ina traffic light maeneo matatu, relini karibu na uwanja wa Moira wa CCM Mkwakwani, Toyota kuelekea bombo hospitali na bandari lakini pia makororora hospitali pamoja na usagara shule ya msingi
Ongeza na mwembe mawazo
 
Koffi Annan
Mkuu hebu njoo upangue huu upupu uliondikwa kwa stori za vijiweni

 
Mkuu super market wameongeza moja pale barabara ya 4 😀
Pia

Mkuu super market wamewaongezea moja ipo pale barabara ya 4
Pia Traffic Light nyingn pia ipo pale relli
Supermarket zilizopo ambazo ni ni kubwa zimeongezeka kuna SD supermarket hii ni kubwa, kuna Paile supermarkets hii imejaa
vyakula hasa wachina ndio wanaipendelea sana na ni kubwa kuna iyo manha supermarkets na iyo mkwabi, ukienda mini supermarkets zipo nyingi sana sahivi siwezi hata zitaja
 
Hizi story za kahawa na vijiweni hamna ukweli wowote hapa
 
SD ipo maeneo gani kiongozi?
 
SD ipo maeneo gani kiongozi?
Ipo Karibu na ofisi za bodi mkonge Tanzania upande wa bandari kama wakaribia posta au usawa wa hiyo mkwabi. Kuna jengo nadhani ni nyumbani hotel au Karibu pia na jengo la casa chica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…