Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

JE WAJUA HAYA KUHUSU TANGA?

1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893.

2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School).

3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza.

4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949.

5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern Hospital) - Tanga, Cliff Block 1895

6. Hoteli ya Kwanza ya Kisasa Tanzania - Tanga, Kaiserhof Hotel 1906.

7. Upandaji wa Mkonge wa Kwanza Afrika - Tanga, Pangani 1900.

8. Nembo ya Benki Kuu ya Tanzania ni msukumo kutoka kwa Kiwanda cha Mkonge Tanga kwani kilichangia zaidi ya asilimia 60 ya Pato la Taifa.

9. Tanga lilikuwa jiji la kwanza kuwa Manispaa mwaka 1891.

10. Tanga ilikuwa na Soko la kwanza la kisasa nchini Tanzania - 1903 Soko la Uzunguni.

11. Risasi ya kwanza ya Vita Kuu ya Kwanza ya Afrika ilipigwa Tanga - Novemba 1914.

12. Tanga ilikuwa na kanisa la kwanza Tanzania - Magila Msalabani Muheza - 1840s.

13. Tanga ilitoa padre mzaliwa wa kwanza (Mlutheri) nchini Tanzania, Jacob Lumwe (1880 - 1970).

14. Zaidi ya 95% ya Kata za Jiji la Tanga zina maji ya kutosha, hivyo kuwa jiji pekee nchini.

15. Tanga ina mfumo wa maji taka kongwe na unaofanya kazi Afrika Mashariki.

16. Tanga inashikilia rekodi ya jiji lenye mpangilio mzuri zaidi Afrika Mashariki.

17. Tanga inashikilia rekodi ya kuwa na maktaba ya kwanza ya umma nchini Tanzania miaka ya 1950.

18. Tanga ina mtambo wa kwanza wa kufua umeme nchini Tanzania tangu mwaka 1905 huko Muheza Amani.

19. Bandari ya Tanga ndiyo bandari inayohudumu kwa muda mrefu zaidi Afrika Mashariki (Rejelea Mtandao wa Bandari ya Tanga).

20. Tanga ina mnara wa saa kongwe zaidi nchini Tanzania (pengine Afrika) 1901
LA MWISHO KABISA:

Tanga ina KARIBU haina KWAHERI.🤣💕👍✌🏽💋
Haya maendeleo yote yalifanyika kwa asilimia kubwa kipindi cha utawala wa Ujerimani kwa kua ndio ulikua mji mkuu wao wa utawala.
 
Tanga ndio sehem shirika la ndege uingereza British Airways walikua na route kila week. Tanga- Britain. Mjeruman tanga aliipanga haswa.na ilikua sehem moja muhim sana kiuchumi zao la mkonge lilitajirisha matajiri wakubwa wakubwa mfano karimjee jivanjee walikua na estates za mkonge. Ni masikitiko makubwa yalioje
 
Tanga inaongoza kwa watoto wakali maana akili yangu huwaza hayo tu
Tz nzima Tanga ndiyo kuna watoto wakali hilo halina ubishi wala.....wambulu nao wazuri shida yao hawawezi fikia matunzo ya watanga.....

Dada zangu wakichagga nisiwasahau wapo top 5 five Tz hii.....😅

1. Tanga na wapare
2. Mbulu na singida zone mpaka kondoa.....
3. moshi na arusha.
4. Wanyakyusa na wangoni, wana mishape.
5.Wasukuma wana mashape ya asili Og.
6.
7.
And list goes mpaka mwisho tuwakute wagogo 😅
 
JE WAJUA HAYA KUHUSU TANGA?

1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893.

2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School).

3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza.

4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949.

5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern Hospital) - Tanga, Cliff Block 1895

6. Hoteli ya Kwanza ya Kisasa Tanzania - Tanga, Kaiserhof Hotel 1906.

7. Upandaji wa Mkonge wa Kwanza Afrika - Tanga, Pangani 1900.

8. Nembo ya Benki Kuu ya Tanzania ni msukumo kutoka kwa Kiwanda cha Mkonge Tanga kwani kilichangia zaidi ya asilimia 60 ya Pato la Taifa.

9. Tanga lilikuwa jiji la kwanza kuwa Manispaa mwaka 1891.

10. Tanga ilikuwa na Soko la kwanza la kisasa nchini Tanzania - 1903 Soko la Uzunguni.

11. Risasi ya kwanza ya Vita Kuu ya Kwanza ya Afrika ilipigwa Tanga - Novemba 1914.

12. Tanga ilikuwa na kanisa la kwanza Tanzania - Magila Msalabani Muheza - 1840s.

13. Tanga ilitoa padre mzaliwa wa kwanza (Mlutheri) nchini Tanzania, Jacob Lumwe (1880 - 1970).

14. Zaidi ya 95% ya Kata za Jiji la Tanga zina maji ya kutosha, hivyo kuwa jiji pekee nchini.

15. Tanga ina mfumo wa maji taka kongwe na unaofanya kazi Afrika Mashariki.

16. Tanga inashikilia rekodi ya jiji lenye mpangilio mzuri zaidi Afrika Mashariki.

17. Tanga inashikilia rekodi ya kuwa na maktaba ya kwanza ya umma nchini Tanzania miaka ya 1950.

18. Tanga ina mtambo wa kwanza wa kufua umeme nchini Tanzania tangu mwaka 1905 huko Muheza Amani.

19. Bandari ya Tanga ndiyo bandari inayohudumu kwa muda mrefu zaidi Afrika Mashariki (Rejelea Mtandao wa Bandari ya Tanga).

20. Tanga ina mnara wa saa kongwe zaidi nchini Tanzania (pengine Afrika) 1901
LA MWISHO KABISA:

Tanga ina KARIBU haina KWAHERI.🤣💕👍✌🏽💋
Mods kuna kitu sielewagi hata kidogo!

Kwanza unakuta uzi niliusoma muda tu lakini siku unaukuta eti unasomeka kwamba umepostiwa jana (yaani mpya)

Pili uzi wa zamani eti unakuja kufanywa ni komenti (unaunganishwa) kwenye uzi wa jana hapo
 
JE WAJUA HAYA KUHUSU TANGA?

1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893.

2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School).

3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza.

4. Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani - Tanga Muheza, Ubwari 1949.

5. Hospitali ya Kwanza (1st Modern Hospital) - Tanga, Cliff Block 1895

6. Hoteli ya Kwanza ya Kisasa Tanzania - Tanga, Kaiserhof Hotel 1906.

7. Upandaji wa Mkonge wa Kwanza Afrika - Tanga, Pangani 1900.

8. Nembo ya Benki Kuu ya Tanzania ni msukumo kutoka kwa Kiwanda cha Mkonge Tanga kwani kilichangia zaidi ya asilimia 60 ya Pato la Taifa.

9. Tanga lilikuwa jiji la kwanza kuwa Manispaa mwaka 1891.

10. Tanga ilikuwa na Soko la kwanza la kisasa nchini Tanzania - 1903 Soko la Uzunguni.

11. Risasi ya kwanza ya Vita Kuu ya Kwanza ya Afrika ilipigwa Tanga - Novemba 1914.

12. Tanga ilikuwa na kanisa la kwanza Tanzania - Magila Msalabani Muheza - 1840s.

13. Tanga ilitoa padre mzaliwa wa kwanza (Mlutheri) nchini Tanzania, Jacob Lumwe (1880 - 1970).

14. Zaidi ya 95% ya Kata za Jiji la Tanga zina maji ya kutosha, hivyo kuwa jiji pekee nchini.

15. Tanga ina mfumo wa maji taka kongwe na unaofanya kazi Afrika Mashariki.

16. Tanga inashikilia rekodi ya jiji lenye mpangilio mzuri zaidi Afrika Mashariki.

17. Tanga inashikilia rekodi ya kuwa na maktaba ya kwanza ya umma nchini Tanzania miaka ya 1950.

18. Tanga ina mtambo wa kwanza wa kufua umeme nchini Tanzania tangu mwaka 1905 huko Muheza Amani.

19. Bandari ya Tanga ndiyo bandari inayohudumu kwa muda mrefu zaidi Afrika Mashariki (Rejelea Mtandao wa Bandari ya Tanga).

20. Tanga ina mnara wa saa kongwe zaidi nchini Tanzania (pengine Afrika) 1901
LA MWISHO KABISA:

Tanga ina KARIBU haina KWAHERI.🤣💕👍✌🏽💋
Hivi ile documentary ya mama na tanga imo?
 
Tanga ni mji ninaoupenda sana. Ukitaka kufaidi jiji la Tanga nenda wakati huu wa Ramadhan. Pale town usiku kama uko uarabuni ni uislamu mtupu. Kilichonikera ni kuna hotel moja iko katikati ya mji kwamba ukienda na demu lazima muonyeshe cheti cha ndoa. Kama sikosei inaitwa Khayrat au jina linalofanania hivyo.
Kumbe wewe ni dume, eti ukienda na demu mpaka uonyeshe cheti, ninazidi kuijua tu midume inayojifanya midemu humu.
 
Back
Top Bottom