Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Biti tu ukijitahidi utauliza nafanya kazi ganiNgoja nikufuate huko PM alafu uwaletee mashost wenzio mrejeshoπ
(Teh nasikia wengine huwa kila kitu mnajibu kwa emoji tu, na me nakujibu)Baada ya kukujibu ndio nikaligundua hilo lol!!
Good morning, umeamkaje? Kwema lkn? Vipi mwezi haujapatwa huko?
Sasa unakuta maswali kibaoo, ukijibu moja lingine linafuata, inabidi urahisishe kazi ni mwendo wa emoji tu, emoji zinasaidia kumuonyesha mtu kuwa yo bored.(Teh nasikia wengine huwa kila kitu mnajibu kwa emoji tu, na me nakujibu)
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
[emoji57] [emoji57]Sasa unakuta maswali kibaoo, ukijibu moja lingine linafuata, inabidi urahisishe kazi ni mwendo wa emoji tu, emoji zinasaidia kumuonyesha mtu kuwa yo bored.
Teh Teh..niambie, upo poa lakin? Mishe vip? Kitaa hawajamb? Haya nipe michongo.cute b nipe story.
Teh teh teeeeh!!Teh Teh..niambie, upo poa lakin? Mishe vip? Kitaa hawajamb? Haya nipe michongo.
NimeifungaNaomba nije inbox
PoleeYani we mrembo ujue wautesa sana mtima wangu...
HahahhhNilichoka ujuee,saa ingine unadhani sms ya MPESA kumbee unauliza uko poa,upo shwari,za weekend vipi ,upo wapi,unafnya nini khaaaaa
Umepotea? Ulikuwa wapi? Kitambo, za kutukimbia? Hauonekani, umetugayaTeh Teh..niambie, upo poa lakin? Mishe vip? Kitaa hawajamb? Haya nipe michongo.
That is no 1 principleMake your intentions clear from the beginning, don't get friendzoned[emoji2][emoji2]