Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Hahahahah huyo kaka hajielewi hata ningekuwa mie ningemshushia ujumbe asingerudia tena salamu zake
 
Nachukia sana neno "NIAMBIE " Au "nipe story, habari "
Mtu unitext mwenyew, sijaku bip bado unataka nikupe story Mimi nazitoa wapi, hizo habari wanazolazimishwa kupewa ni zipi?
Wenye hizi tabia mnaboa.
 
This Is Facundo.
Facundo: Mambo.
Maisara: Poa,Mzima.
Facundo: Mzima, Mi Nataka Nikupenye.
Maisara :Nani? Mimi? Hivi Umenionaje Ww Mkaka Ebu Jiheshimu. Yani Unaniambia Mm Kama Umenikuta Uwanja Wa Fisi. Umenikera Sana. You Are So Disrespectful.
Facundo Did Not Go Meandering With Loads Of Salamus,Facundo Went Straight.
Be Like Facundo.
Ila Sasa Wanaume Wa Straight Ivyo Tunaonekana Wahuni,And Not Romantic...
 
(Teh nasikia wengine huwa kila kitu mnajibu kwa emoji tu, na me nakujibu)

[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Sasa unakuta maswali kibaoo, ukijibu moja lingine linafuata, inabidi urahisishe kazi ni mwendo wa emoji tu, emoji zinasaidia kumuonyesha mtu kuwa yo bored.
 
Back
Top Bottom