Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

Unashangaa mtoa mada mkewe anapigwapigwa hovyo nje ya ndoa,hapo ndo uamini mapenzi hayana formula.Mwalimu wangu aliyenifundisha somo moja la saikolojia,nilishangaa naye anachapiwa,nikabaki nasema hiii baghosha.

Huyu mleta mada bado hajawajua hao viumbe. Amekariri tu.

Gadna alisema alimkojoza jide kwa miaka nane, na mpaka leo haelewi ni kwanini alipigwa kibuti. 😀

Kwamba eti ukimkojoza mwanamke ndipo atakuvumilia na kukupenda?!!!

Mapenzi hayanaga formula. Pia, mwanamke ni undefined. 😎

-Kaveli-
 

Unajua kisayansi wewe mwanaume ndani yako kuna uanamke?
So kama Mwanamke ni undefined basi sisi wanaume ndio zaidi yao.
 
Hata hakuna sir za wao kututunzia..
Kama ni siri ya kutowafikisha kileleni hiyo hata sio siri mbona. Tuma mambo menginya muhim kuzingatia sio ujinga wa kufikisha kilelen.
nimecheka kwa nguvu, hakika kuna mambo mengi sana ya kufikiria na sio swala la kukojozwa,,,mimi ni Ke lakini naungana na wewe mkuu
 
Hata hakuna sir za wao kututunzia..
Kama ni siri ya kutowafikisha kileleni hiyo hata sio siri mbona. Tuma mambo menginya muhim kuzingatia sio ujinga wa kufikisha kilelen.
Toka niku jue, leo ndo Ume ongea point muhimu.
👉Sijui mdogo ako Mpaji Mungu kaona🤣😂😀, we got no time for distraction.
 
1. Haya mambo huwa naona kama yako 'two-way traffick'
2. Mwanamke asiyemtosheleza mume wake vipi?
3. Haya mambo yanahitaji 'good understanding' ya kila mwanandoa kwa mwenzake maana tatizo linaweza kuanza kwa mmoja na likaja pia kwa mwingine.
4. Na katika maisha ndivyo ilivyo (it's either or).
 

Kwenye sex Hakuna Mwanamke asiyemtosheleza mwanaume.
Labda asimpe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…